MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Invisible,
Ahsante mzee!!!
Ahsante mzee!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani nimesahau kukuwekea:
Arusha Secondary School
Yapo hapa: https://www.jamiiforums.com/csee2009/s0302.htm
MATOKEO PIA YANAPATIKANA KWA KUTUMA SMS YENYE FORMAT: matokeoXnambaKituoXnambaMtahiniwa MFANO: matokeoXs0101X9999 KWENDA 15311 HII NI KWA WATEJA WA VODACOM PEKEE. UTATOZWA TZS 400 TU!
http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm
matokeo mabovu sana, mmmmh...
Hivi wizara ya elimu wanamaana gani kuweka majina? mbona mwaka jana walitoa namba tu? aaagrrrr! Sijui tuwaeleweje....
Mkuu Papizo samahani sikuwa online kwa muda kadhaa,Mkuu invisible naomba matokeo ya makongo hapo dar,Thanks!!
Mkuu naomba P.1044
Mkuu Sanda Matuta naona ya mwanzo yalikupa hamasa ya kupata mengine:nimerudi tena wakulu naomba Pugu sec
Pole mamangu na samahani kwa kuchelewa kwangu kujibu, si kawaida yangu hivi lakini sikujua kama kuna requests zaidi.Invisible please naomba umoja sec,huko web ya elimu hata haipatikani kabisa.
Mkuu Fidel,shukrani naomba matokeo ya Mombo Sec. School
Na Ashira Girls
Mkuu hizo tatu nilizo-bold na kubadilishia rangi kwa juu nahisi ni vyanzo vikubwa sana vya matatizo haswa. Hizi nyingine ulogusia wakuu wanaweza kuziongelea kwa namna nyingine lakini mimi nakomaa na hizi tatu. Ninakiri zimepelekea matatizo makubwa.1. Je watoto tunao zaa hawana akili na vichwa vigumu?
2. Je tatizo ni waalimu hawana weledi wa kuweza kufundisha vijana?
3. Malezi ya mabovu ya wazazi na walezi katika kusimamia maendeleo ya vijana wetu kimasomo?
4. Je ni hizi simu tunazowanunulia zinawafanya wasizingatie masomo darasani na kuwa buzy kuchat na ma girlfriend/boyfriend zao?
5. Au hii miziki ya bongo flavour na TV programmes zisizo na tija?
6. Je ni kukosa mbinu mbadala kwa watunga sera wetu na serikali nzima ya CCM?
kwani siku za nyuma watu walikuwa hawafeli?kwani simu zilikuwepo?ukumbuke idadi ya wanafunzi imeongezeka,hasa hzi shule za kata,na private candidates nao wanaongezeka kila mwaka.so hiyo idadii ya waliofeli ni plus private candidate.so hao waliofeli this year mwakani utawaona tena kwenye mtihani,na ofcourse watafeli(iv or 0),so idadi itaongezeka tu.shule za kata zimeongezeka kwa kasi sana,na unajua mazingira ya kusomo huko vijijini yalivyo.....'itachukua muda hizo shule kuwa stable na kupata wallimu wa kutosha.Mkuu hizo tatu nilizo-bold na kubadilishia rangi kwa juu nahisi ni vyanzo vikubwa sana vya matatizo haswa. Hizi nyingine ulogusia wakuu wanaweza kuziongelea kwa namna nyingine lakini mimi nakomaa na hizi tatu. Ninakiri zimepelekea matatizo makubwa.
Vitoto vyetu tumeviharibu wenyewe! Vinatuma sms over 300 per day, vinashuka mistari ya 'Bongo-Flava' na 'Hip-Hop' hata ukivishtua usingizini lakini ukigusia masomo vinakuwa mbogo hata kwako mzazi. Very discouraging.
Walimu waliofeli kidato cha nne wanaofundisha kidato cha nne nao ni tatizo, yani ni tatizo juu ya tatizo.
Mkuu invisible umefanya kazi kubwa sana ya kuwajulisha 'wadanganyika'. Thanks so much!!
Ingawa nashangazwa sana na matokeo kuwa mabovu kiasi hiki, sijui kama taifa tunaelekea wapi! Nijuavyo mimi inahitaji akili ya kawaida sana kwa mtu yeyote kupata division two and above. Inaweza ikawa relatively difficult kupata Div one point 7 lakini ni rahisi kwa kila mwanafunzi mwenye kuweka bidii ya kawaida kabisa kupata division 1 or 2!!
Je tatizo ni nini??
1. Je watoto tunnao zaa hawana akili na vichwa vigumu?
2. Je tatizo ni waalimu hawana weledi wa kuweza kufundisha vijana?
3. Malezi ya mabovu ya wazazi na walezi katika kusimamia maendeleo ya vijana wetu kimasomo?
4. Je ni hizi simu tunazowanunulia zinawafanya wasizingatie masomo darasani na kuwa buzy kuchat na ma girlfriend/boyfriend zao?
5. Au hii miziki ya bongo flavour na TV programmes zisizo na tija?
6. Je ni kukosa mbinu mbadala kwa watunga sera wetu na serikali nzima ya CCM?
Hii itaendelea mpaka lini???
Je ni aina gani ya taifa tunajenga katika karne hii???
Naomba tujadili kwa kina...ili tujue tulipo, tunapokwenda na tufanye nini kujikwamua katika tope hili la ujinga.
Hizi ndio biashara za kufisadiana, sms ni TZS 58 max. hiyo difference inakwenda kwa nani TZS 400 - TZS 58 = TZS 342
TZS 342 - VAT (TZS 68.4) = TZS 273.60
Faida atakayopata jamaa kutoka kwa wadanganyika ni
TZS 273.60 x (IDADI YA WATAHINIWA + MARAFIKI)
Say watahiniwa ni 315000 + marafiki ni (315000 x 2) = 945000
Therefore income = TZS 273.6 X 945,000 = 258,552,000 in three days!
Not bad!
Huo ndio u-transparency. Hatutaki kudangaywa na vyeti vya mitaani!