Tunasubiria one na two zetu
Tuna ya subiria kwa hamu
muhitimu wa kidato cha nne 2012..teh teh tehheee
Serikali yaahidi kukamilisha na kuyatangaza tena wiki hii. Source tbc habari na uhakika.
muhitimu wa kidato cha nne 2012..teh teh tehheee
Dont give up madogo, Mungu atawasaidia na hata waacha mlie tena.
Tunasubiria one na two zetu
Mungu wa kuwaokoa wote wale 260,000! Huyo hayupo!
someni mfute ujinga msisubiri matokeo ya kupikwa.Hii nchi haijamini hasa kwenye suala la elimu.
Mtafikiriwa tu binti usihofu. Lengo la ccm ni kuzalisha mambumbumbu wengi zaidi katika nchi ili waendelee kuwatawala milele.Mungu wangu, sijui sisi tuliochora vikatuni na kuandika nyimbo za bongo fleva kwenye pepa watatufikiria na sie au ndiyo watatuacha tuwe machokoraa mitaani!
Mungu wa kuwaokoa wote wale 260,000! Huyo hayupo!
kinacho kuchekesha hapa nini
mkuu ama hakika unaweza kucheka ata kwenye msiba jirekebishe hili ni
janga la kitaifa.