Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

J de real

Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Serikali yaahidi kukamilisha na kuyatangaza tena wiki hii. Source tbc habari na uhakika.
 
mi wale madogo zangu wangepata hata credit mbili tu, ningeshukuru
 
Dont give up madogo, Mungu atawasaidia na hata waacha mlie tena.
 
someni mfute ujinga msisubiri matokeo ya kupikwa.Hii nchi haijamini hasa kwenye suala la elimu.
 
Mungu wangu, sijui sisi tuliochora vikatuni na kuandika nyimbo za bongo fleva kwenye pepa watatufikiria na sie au ndiyo watatuacha tuwe machokoraa mitaani!
 
someni mfute ujinga msisubiri matokeo ya kupikwa.Hii nchi haijamini hasa kwenye suala la elimu.

We waache tu. Watapata ajira katika siasa. Mbona kiboko ya wachawi Tanzania( Prof. Maji Marefu) ni mheshimiwa mbunge!.
 
Mungu wangu, sijui sisi tuliochora vikatuni na kuandika nyimbo za bongo fleva kwenye pepa watatufikiria na sie au ndiyo watatuacha tuwe machokoraa mitaani!
Mtafikiriwa tu binti usihofu. Lengo la ccm ni kuzalisha mambumbumbu wengi zaidi katika nchi ili waendelee kuwatawala milele.
 
kinacho kuchekesha hapa nini
mkuu ama hakika unaweza kucheka ata kwenye msiba jirekebishe hili ni
janga la kitaifa.

wala sio janga la kitaifa kama ulivyokaririshwa,ni janga la wahitimu wenyewe,ukifikiria kwa kina utapata maana yake..
 
Back
Top Bottom