Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

sitaki niamin kama marian boys wote wanaakili kiasi kwamba hata wangesoma nyamatare sec wangepata kama walivopata leo.....nazan mtawala anaendelea na mtawaliwa maandalizi mapema......well done watoto wa mabosi polen ndugu zangu kumwona mwl mpaka kuwepo na ukaguzi wa mkuu wa mkoa .......BIG RESULT NAO
 
Aliye anzisha post hii atumie akili

.
Sio wote wanatumia PC
ni bola tu ungeweka link angalau ingesaidia
.
 
Shule ya wasichana ya St. Francis yaongoza matokeo ya kidato cha 4

Jamani seminary zetu za kiislam vipi!!.. Mwaka jana tuliandamana tukimpinga Ndelichako kwamba anachakachua matokeo vipi kwa mwaka huu vijana wetu wamefaulu??
 
Kwa matokeo haya aliyepata III kwa mwaka huu ni sawa na aliyepata four mwaka jana
 
Mdau angalia Quality ya hizo Div 1 na II na siyo Quantity. Bila shaka utajua ni kwa nini St. Francis wanaongoza. Au mfano mdogo tuu ni: Mimi nina "A" ya 85 na wewe una "A" ya 90. haiwezekani mm niwe wa kwanza wakati wewe una maksi za juu. Bila shaka umenielewa.
 
Vp kama una div 4 ya 33 na una C 3 unaenda hata private,!?? Na je ni Shule gan inapokea iyo na iko wap!???
 

Bible knowledge imempa credit ana E
 
Gepu kati ya kayumba sec schools na vibosile sec schools linatengenezwa kwa makusudi. Serikali enzi za nyuma (up to early 2000's) ilikuwa ikijivunia kwa shule zake kufanya vyema, hivi these days watendaji wa serikali katika sekta ya elimu wanajisikiaje kuona shule za serikali ndio zinaongoza kwa kuwa incubators/ vitotolesha mayai (0).?
 

Naichukia wizara ya elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…