Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Kama mtu simu yako ina play store download application ya thl unayapata kwa urahisi kwenye hiyo ya application
 
Nisaidie hii mkuu S.0562... natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Oy me kwangu matokeo hayafunguki sijui ni kwangu tyu au na nyiee ipo ivooo
 
Binafsi namshukuru Mungu, binti yangu alipata nafasi kwenye shule za "saint", nika risk kumpeleka shule ya bure, shangazi zake wakanilaum kwa uamuzi huo.
Hapa nilipo nagonga balimi yangu taratiiib!
Bint kawa prove wrong, kagonga Div 1 nzuri.
shuleni kwao wamepata one wangapi?2 wangapi?3 wangapi?4 wangapi na zero wangapi?fanya kautafiti.
 
Naomba mnisaidia kuniangalizia mdogo wangu hapa hali tete.. namba yake ni S2078/0042
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…