Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Nina wasiwasi sana hizi siasa za Erdogan na Magufuli zilivyoingilia shule ya Feza kama shule itaweza kuendelea na uhodari huu.
 
Mtandao unasumbua jamani,ya kila link ninayojaribu kutafuta haitoi results, masaada wenu please
 
dah sema hiyo link aisee uwezi amini nahangaika ifungua toka asubuhi lakin holaaaa haifunguki
 
Back
Top Bottom