Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Wanaosoma hizo binafsi bado ni Wa tanzania.Hata hayo mazingira wezeshi unayodai yapo private schools, yameletwa na serikali.
Nai huu ni mtazamo wako na unaheshimika
Kwamba ni fahari kuona cha jirani ni bora kuliko cha watoto unaowalea na kuwasimamia
 
wanapaswa kujiuliza upya.Elimu ni bure ama ni gharama?hizo kumi bora hapo juu hakuna hata moja ambayo ni bure.
Binafsi namshukuru Mungu, binti yangu alipata nafasi kwenye shule za "saint", nika risk kumpeleka shule ya bure, shangazi zake wakanilaum kwa uamuzi huo.
Hapa nilipo nagonga balimi yangu taratiiib!
Bint kawa prove wrong, kagonga Div 1 nzuri.
 
Mbona kama haifunguki jamani?

Ama hapa nilipo network ndiyo shida ila iko H+
 
Naomba mniangalizie shule hizi wakuu AIRPOT CENTRE NUMBER 2378

Na IWINDI SEC CENTRE NUMBER 1994

MSAADA WAKUU
 
Back
Top Bottom