Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
S............ | F | 16 | I | CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY - 'C' CHEM - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'F' |
Aende PCB dogo. Achana na penat
Hkl asiiguse haina soko
Habari yenyewe ni km anataka tuzungumzie kitu cha mpita njia yaani muhusika km hamjui au hana uhusiano nae sasa nimfafanulie kiundani matokeo yasiyo muhusu yamsaidie nini?Hujajibu kitu...,rudia kusoma alichoandika mleta mada
Habari yenyewe ni km anataka tuzungumzie kitu cha mpita njia yaani muhusika km hamjui au hana uhusiano nae sasa nimfafanulie kiundani matokeo yasiyo muhusu yamsaidie nini?
Kaleta kimasihara jibu Liwe ivoivoSa huyo mpitanjia ndo anahitaji umchagulie PCB? Jikite kujadili hoja, sio mlengwa.
Hongera kwa dogoWakuu, nawasalimu!
Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16.
S............ F 16 I CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY - 'C' CHEM - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'F'
Hata hivyo mleta mada hajui asaidie kitu gani, maelezo yake hayajakamilika. ArudieHujajibu kitu...,rudia kusoma alichoandika mleta mada
Siku zote ukimya!!huficha uelewa wako juu ya jambo fulani!!kwa kauli yako hiyo, tu nimeshakuelewa kiwango cha elimu yako!!(huenda hata kiwango cha elimu ya sekondari hukufikia!!)au vinginevyo!!kwani hoja ya jamaa iko wazi kabisa kwa mtu aliyepitia elimu ya sekondari huko nyuma, anafahamu kuwa ukipata F, ya mathematics, itaathiri matokeo yako tu!!wewe una kuja na hoja nyingine kabisa!!!Aende PCB dogo. Achana na penat
Hkl asiiguse haina soko
Heee!!wapi ambapo maelezo ya mleta mada hayajakamilika?!!hoja mbona inaeleweka, kuwa inakuwaje mtu anapata F' ya hisabati lakini bado ana daraja la kwanza?!!!hapo ndipo panatakiwa majibu kwa anayefahamu?!Hata hivyo mleta mada hajui asaidie kitu gani, maelezo yake hayajakamilika. Arudie
Kaleta kimasihara jibu Liwe ivoivo
We hoja yako ni IPI? Au umekuja kubishana na Mimi?
Zama zimebadilikaWakuu, nawasalimu!
Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16.
S............ FYaani mtu anasoma sayansi hesabu anapata F msiba huu 16 I CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY - 'C' CHEM - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'F'
Hata hivyo mleta mada hajui asaidie kitu gani, maelezo yake hayajakamilika. Arudie