Matokeo Kidato cha Nne 2020: Siku hizi hakuna 'penati' za Civics na Basic Mathematics?

Tunaangalia namba Badala ya ubora KARAGABAHO. twafa!
 
Yaani mim niumize kichwa kwa mada za kikuda,, sasa Unataka nimpe dondoo makini ili amshushe daraja mtoto wa watu?

Nyie ndo walewale mliowaponza ajira za ualimu kwa ukudaukuda wenu.

Huwaga najiuliza mkishakosoa ndo mnapata mkate wa siku au laah!

Pamoja na kukosoa kwenu wahusika wanabaki madarakani palepale na ndugu yako au family yako ndio inayoumia.
 
Aende diploma ya kitu anachotaka kusomea. Ushauri wa bure toka kwa legend
 
Matokeo yake yanashangaza sana kwa kweli, amewezaje Phys kupata C,Chem kupata B halafu Maths apate F?????Hapa kuna namna si bure.
 

Nahisi kuna makosa... mtu upate physics C, chemistry B, biology B halafu somo jepesi kuliko hayo mathematics apate F.. yaani hata D aikose?
 
Matokeo yake yanashangaza sana kwa kweli, amewezaje Phys kupata C,Chem kupata B halafu Maths apate F?????Hapa kuna namna si bure.

Mimi pia nakataa. Haiwezekani upate physics C, chemistry B, na biology B halafu mathematics upate F... haiwezekani ubahatishe masomo magumu kwa grade nzuri halafu somo jepesi usifike hata D
 
Heee!!wapi ambapo maelezo ya mleta mada hayajakamilika?!!hoja mbona inaeleweka, kuwa inakuwaje mtu anapata F' ya hisabati lakini bado ana daraja la kwanza?!!!hapo ndipo panatakiwa majibu kwa anayefahamu?!
Leta matokeo yako yenye penat
 
Hisabati ( mathematics) wamefeli wengi sana kusema kweli.
Walimu wa hesabu watakuwa wabovu mtoto mfano huyo kufaulu physics ukoo rahisi kufaulu physics akafeli hesabu
 
Hiyo kitu haina mashiko tena! Ulikuwa uonevu tu! Siku hizi hakuna cha penalty wala mjombake! Hiyo ilikuwa miaka yetu yaani hapo angeshushwa mpaka div. 3 pamoja na points zake hizo 16. Ila ulikuwa uonevu tu!
 
Siku hizi hata upate wani ya zoote kama huna pesa au unategemea makaratasi ndio yake yakupe pesa unapotea ko cha msingi muandalie mkondo wa pesa na si hayo makaratasi mda wake umepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…