Ni longterm effect of mgomo
Ni longterm effect of mgomo
katangaza matokeo ya Zimbabwe ya Tz bado....
Mimi nafikiria mawaziri wahusika wajihizuru maana hili jahazi limeshawashinda kabisa. Nimemsikiliza akisema hata Dar wananfunzi wamefail sana
Haya ni matokeo ya walimu bado ya madaktari kudadadeki tutakuoma sisi tusiokuwa na hata nauli za kwenda Apolo....Walimu walishagoma tokea zamani na haya ndo matokeo yale, Watu wakisema walimu wana mgomo baridi serikali inabisha! Haya sasa!
Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, waziri Mulugo, ameshangazwa na matokeo mabaya kwa wanafunzi wa kidato cha pili ambapo Dar es salaamu ndiyo mkoa ambao wanafunzi wamefanya madudu sana! Akizungumza na waandishi wa habari leo wakati akiyatangaza matokeo ya kidato cha pili, ametumia muda huo kupinga dhana iliyoyojengeka kwamba wanafunzi wanafeli kwa sababu hakuna walimu akitolea mfano jiji la Dar es salaam kuwa na walimu wengi na bado wanafunzi wamefeli. Ametoa wito kwa wazazi kufatilia maendeleo ya watoto wao mashuleni, na pia akawataka waalimu wajiulize sababu ya hawa wanafunzi kufeli.
MY TAKE:
Sijui mulugho anataka kusema nini lakini wizara ndiyo ambayo inapaswa kutupa majibu, kama waziri anayehusika na elimu anaona matokeo mabovu anashangaa na kuuliza maswali sijui wananchi watakua katika hali gani, ni miaka mingi sasa wizara ya elimu inafanya madudu na kuchezea elimu za watoto wetu, tunaomba Rais aitizame elimu kama kitovu cha maendeleo!
mgomo gani tena mkuu mbona nchini saizi shwari tu......
Kweli asiyejua maana hambiwi maana hata akiambiwa maana haelewi maana, Mulugo anataka wazazi wafuatilie maendeleo ya watoto wao 100% correct, walimu wajiulize kwa nini watoto wamefeli 100% halafu basi, mimi ninchojua elimu inajumuisha wadau wakuu watatu
1. Serikali.
2 Mwalimu
3. Mzazi
Ametaja wadau wawili mwalimu na mzazi, maana yake ni kwamba wala hata serikali haioni tatizo kwao wao hakuna haja ya kukaa na kutathmini hili, kweli tunawaziba nafasi si viongozi![/QUOTE Bubu Msemaovyo amemaliza kila kitu...Serikali ndiyo chanzo cha haya yote na bado...
wameshusha na kiwango cha ufaulu std 7! siku hizi mtihani wa hesabu std 7 ni multiple choice, yaani ni ujingaaaaaaa ambao hata mayai yangu kwenye ovaries hayawezi kubali!! stupid me kuendelea kuwa na vitu vyenye rangi ya KIJANI!
wameshusha na kiwango cha ufaulu std 7! siku hizi mtihani wa hesabu std 7 ni multiple choice, yaani ni ujingaaaaaaa ambao hata mayai yangu kwenye ovaries hayawezi kubali!! stupid me kuendelea kuwa na vitu vyenye rangi ya KIJANI!