Matokeo kidato cha pili yanachanganya

shabhibhii nafwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
300
Reaction score
148
Wadau matokeo kidato cha pili yametoka lakini huu mpango wa gpa umekuwa unachanganya. kuna gpa ya 0.2 ambayo inaonyesha mwanafunzi kufaulu lakini kiuhalisia ni kwamba wamefeli.

Haiwezekani kati ya masomo 11 mwanafunzi akawa na f sita harafu gpa yake akawa amefaulu. huu c uchulo jamani tunaeenda wp?
 
Duuuh ndo mana tunaishia kuwa masikini na kuzid kulala mika ajira duuh
 

Tunaenda kwenye uchaguzi!
 
kufaulu na kuferi ni mifumo inayo wekwa na tahasisi zinazo simamia elimu.Wanao uwezo wa kuferisha au kufahurisha...!Sera ya sasa ni kufahurisha hivyo acha vijana wale bata,kabla ya sera nyingine ya kuferisha.
 
hii ndio SIRIKALI ya kwetu.najivunia kuwa mtanzania
 

Wanataka kura zako hao mafisadi kwani hata shule za kata wamefaulu ata ambao hawajui kusoma English, kweli tumepotea.
 
tutaendelea kulalamika sana kuhusu uhaba wa ajira. hawa mbulula wanafanya wasomi waonekan wengi wakati wanaostahili ni wachache.
kwa mtindo huu mtanzania mwenyewe anaogopa kuajir mtanzania mwenzake
 

Tupe jina la mwanafunzi na shule tuangalie kma ni kweli usemayo
 
Tupe jina la mwanafunzi na shule tuangalie kma ni kweli usemayo

We upo nchi gani aujui kwamba GPA ya 0.2 kwa form two wameandikiwa PASS uku anamiswaki shazi na D nne.
 
mbona shuleni kwangu mwanafunzi wa mwisho ana gpa ya 4.9 for more browse,shamsiye boys secondary school.so msikate tamaaa
 
Teh teh teh bongo now hakuna elimu ndio maana hata nchi jirani wanaacha kuleta watoto wao kusoma huku
 
mwaka wa uchaguzi huu wanasiasa wanajisafisha kwa kubaka idara ya elimu...tusubiri na ya form four ufaulu wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…