acsee 2014 nna 3 ya 10.phys C,chem B na biology B.je naweza pata nafasi ya kusoma pharmacy muhimbili?.na kama haiwezekani unanshauri nikasome course gani?
Ya 8. Kutoka mwisho Al- falaah Muslim cc FaizaFoxy
Je, elimu itaboreka lini? Tumeamua kuwapitisha kisiasa watoto wetu hali ya kua hali halisi ilivyo ni tete, sawa, wakubwa wameshaamua iwe hivyo na imekuwa.
Tokea wachakachue yale matokeo,na wakastandardise halafu wakaja na division five,yaani wanaboresha matokeo badala ya kuboresha Elimu kwamba mtu kama anafeli au anafaulu kihalali.Ngoma inaelekea 2015 hiyo kwa hiyo kanyaga twende.
Duh....kuna watu wana D D C hila div 4 sasa hao chuo inakuaje kweli hii big results full maajabu
Tunazidi kuiharibu nchi yetu ila wengi bado tunafurahia matokeo ya mtihani ni mazuri,
ingekua ni form four ningelaumu ila kwa form six wacha wafaulu tu,
naamini mtu hawezi kufanya vizuri form four akashindwa form six,
wangefaulu wote tu.
Thank you MY GOD kwa ajili ya BINTI yangu!!!!!!
udom tena akatafute nin xaxa
Kapata div ngapi?
Majanga matupu kupata one na two ni ishu asilimia kubwa wamepata three..Mulugo kaharibu mfumo wa elimu yetu.
nime pata two ya 9 nina chem B bios B geo B naham sana ya kusoma medicine je naweza pata. kama ndio vip naweza fanikisha?
one ya point 7.
Haha..point 5 izo kwenye principles, chuo anaenda maana nakumbuka mwaka jana medicine UDOM cut point ilikua 4 na Bugando 4.5 muhimbili ilikua 5.5
Asjisifu anambio, amsifu na aliyemkimbiza..ukitaka kuonja utamu wa BRN mwanao au mdogo wako apass, akifail utatamani ardhi ipasuke utakua unaona kila mtu anaujua huu uchakachuaji (BRT) kumbe wengine waaala!
Thanks God pia, mdogo wangu kaponeamo.