dullyhami
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 560
- 147
acsee 2014 nna 3 ya 10.phys C,chem B na biology B.je naweza pata nafasi ya kusoma pharmacy muhimbili?.na kama haiwezekani unanshauri nikasome course gani?
Kwanza nikupe hongera zako kwa kanzi kubwa uliyoitenda,
kwangu mie nahisi ufaulu umeongezeka kwa kiwango kikubwa hasa kwa mujibu wa alama mpya za ufaulu, hivyo inasababisha ushandani kuwa mkubwa sana kwa hivyo usiache kujaribu na UDOM pia wanatoa pharmacy