Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

Status
Not open for further replies.
acsee 2014 nna 3 ya 10.phys C,chem B na biology B.je naweza pata nafasi ya kusoma pharmacy muhimbili?.na kama haiwezekani unanshauri nikasome course gani?

Kwanza nikupe hongera zako kwa kanzi kubwa uliyoitenda,
kwangu mie nahisi ufaulu umeongezeka kwa kiwango kikubwa hasa kwa mujibu wa alama mpya za ufaulu, hivyo inasababisha ushandani kuwa mkubwa sana kwa hivyo usiache kujaribu na UDOM pia wanatoa pharmacy
 
Tunazidi kuiharibu nchi yetu ila wengi bado tunafurahia matokeo ya mtihani ni mazuri,
ingekua ni form four ningelaumu ila kwa form six wacha wafaulu tu,
naamini mtu hawezi kufanya vizuri form four akashindwa form six,
wangefaulu wote tu.
Je, elimu itaboreka lini? Tumeamua kuwapitisha kisiasa watoto wetu hali ya kua hali halisi ilivyo ni tete, sawa, wakubwa wameshaamua iwe hivyo na imekuwa.
 
Ngoma inaelekea 2015 hiyo kwa hiyo kanyaga twende.
Tokea wachakachue yale matokeo,na wakastandardise halafu wakaja na division five,yaani wanaboresha matokeo badala ya kuboresha Elimu kwamba mtu kama anafeli au anafaulu kihalali.
 
Duh....kuna watu wana D D C hila div 4 sasa hao chuo inakuaje kweli hii big results full maajabu

Haha..point 5 izo kwenye principles, chuo anaenda maana nakumbuka mwaka jana medicine UDOM cut point ilikua 4 na Bugando 4.5 muhimbili ilikua 5.5
 
Tunazidi kuiharibu nchi yetu ila wengi bado tunafurahia matokeo ya mtihani ni mazuri,
ingekua ni form four ningelaumu ila kwa form six wacha wafaulu tu,
naamini mtu hawezi kufanya vizuri form four akashindwa form six,
wangefaulu wote tu.

Aaaghr bwana ee liwalo na liwe tu.
 
Majanga matupu kupata one na two ni ishu asilimia kubwa wamepata three..Mulugo kaharibu mfumo wa elimu yetu.
 
Majanga matupu kupata one na two ni ishu asilimia kubwa wamepata three..Mulugo kaharibu mfumo wa elimu yetu.

Kile kichwa hatari sana aise, kiliwahi kuajiriwa kupitia vyeti vya ndugu Dickson Mulungu wa mkwawa.
 
nime pata two ya 9 nina chem B bios B geo B naham sana ya kusoma medicine je naweza pata. kama ndio vip naweza fanikisha?

Niliwahi kusikia kuwa kusoma Medicine mpaka uwe umepitia PCB sasa sijui kuna ukweli wowote?
 
Haha..point 5 izo kwenye principles, chuo anaenda maana nakumbuka mwaka jana medicine UDOM cut point ilikua 4 na Bugando 4.5 muhimbili ilikua 5.5

tembelea guide book TCU,, f six 2014 wana uchambuzi wao.
 
Yaani Tambaza siku hizi inashika mkia??:angry:

Majanga...
 
Ukweli namshukuru MUNGU,
na pia nashukuru juhudi ya waalimu wao;

Pia jua kuwa huyu hajawahi kusoma private.

Kweli shule yao imejitahidi haina div 4 wala 0.

Asjisifu anambio, amsifu na aliyemkimbiza..ukitaka kuonja utamu wa BRN mwanao au mdogo wako apass, akifail utatamani ardhi ipasuke utakua unaona kila mtu anaujua huu uchakachuaji (BRT) kumbe wengine waaala!

Thanks God pia, mdogo wangu kaponeamo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom