John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Klabu ya Dodoma Jiji ya jijini Dodoma imeachana na kocha wake mkuu, Mbwana Makata kuanzia leo Jumatano Februari 23, 2022.
Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya mwendelezo mbaya wa matokeo ya timu hiyo katika mashindano mbalimbali ya msimu huu wa 2021/22.