John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Nabi lini anaondoka?
Ramli ulianza lini? Na hamchoki kila mnaloongea halitokei.Bado Pablo wa Simba, kipigo watakachokipata kutoka kwa Berkane kitamfukuzisha
Nàtamani hii timu inayolazimishwa kuwa timu kubwa pale Dodoma ishuke daraja.Tatizo kubwa team imeingia vitu vitatu vibaya , siasa , usimba na uyanga , dodoma ni timu nzuri ila hujuma ziko ndani na viongozi ndo tatizo