Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu

Status
Not open for further replies.
Bravo, Kesho wote waliochora Zombi wanapata matokeo yao wasubiri kupewa vyeti vya kufaulu mtihani
 

Tumia expression iliyo sahihi zaidi.....
 
Hamna ki2 kama hicho coz kesho wanatoa bajeti yao ya elimu so hawawezi kuchanganya mambo hayo yote kwa siku moja.

Hapana mkuu kesho J3 tarh 27 ni bajeti ya wizara ya Ardhi na Makazi.
 
Kwa vyovyote vile matokeo mapya yatatoka iwe kesho au siku nyinginewe-la msingi ni je haki hii ya marekebisho ya matokeo mbona imewaacha wahitimu wa mwaka jana? ambao vigezo vya ufaulu vilikua sawa na vya mwaka huu na hata matokeo yao yalikuwa mabaya pia. Huu ni mwendelezo wa sera za kibaguzi za serikali hii, kwanini mwaka wa Jana iwe sawa mwaka huu warejee pass marks kwa vigezo tofauti? Siamini km wahusika wanajua udhalimu wanaowafanyia vijana hawa km wanajua basi hawajui km dhambi hii haitawaacha salama ....!
 

.....hongera uko jirani sana na ndugu wa waziri... ndugu wa karibu ni mkewe.. au mwanae au wewe mwenyewe umewasiliana naye
 
wadau kuna dogo matokeo yake yalikuwa hivi Phy-C,Chem-D,Math-D,Bio-D,Geog-D,Hist-C,Kisw-D,Eng-D,Civ-D.dv4.26 Mwenye maono ya mbali atoe msaada wake kuhusu kubadilika kwake hayo matokeo.
 
wadau kuna dogo matokeo yake yalikuwa hivi Phy-C,Chem-D,Math-D,Bio-D,Geog-D,Hist-C,Kisw-D,Eng-D,Civ-D.dv4.26 Mwenye maono ya mbali atoe msaada wake kuhusu kubadilika kwake hayo matokeo.

Huyo keshaenda A-level tayari maana ana div 2 nzuri tu akifeli sana atapata 23 isitoshe Math lazima apate C.
 
Kwa nini unataka utabiri wakati matokeo halisi yanatangazwa kesho?
 
.....hongera uko jirani sana na ndugu wa waziri... ndugu wa karibu ni mkewe.. au mwanae au wewe mwenyewe umewasiliana naye

Inawezekana yeye ni ndugu wa karibu wa ndugu wa karibu wa ndugu wa karibu wa ndugu wa karibu wa ndugu wa karibu wa ndugu wa karibu wa ndugu wa karibu wa ndugu wa karibu wa ndugu wa karibu ambaye ni rafiki wa karibu wa Mh.Naibu waziri.
 

kazi ya kuchakachua na kuhakikisha wale waliopoteza maisha kwa matokeo ya awali kuwa kinyume na matarajio yao imafanyika vema na wamerudishiwa div 0 zilezile ili umma usiwashtaki usiwahukumu sio?
 
matokeo yatangazwa chanzo mwananchi, ila hongelen madogo 20% kuongezeka c mchezoo watakua bize kwenye bajeti. Hivyo kuweni wavumilivu bajeti yao ikipitishwa ndio watatoa matokeo ili kupunguza maswali na wanahofia kupingwa kwa bajeti yao. ELIMU +SIASA=? Tafakari chukua hatua.[/QUOTE]
 
I hope nitatoka na div 1 sasa na kuingia kwny 10 bora
 
wamepanua goli watu wafunge..... ha haa haaaaa !!!! tz kazi kweli kweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…