Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu wa mh naibu wazir anayeshughulikia maswala ya elimu hapa nchini kwa sasa kuwa national examination results kwa matokeo yaliyofutwa yanatarajia kutangazwa kesho baada ya kukamilika kwa kuchakachua matokeo. chanzo cha kuaminika n ndugu wa karibu
Hamna ki2 kama hicho coz kesho wanatoa bajeti yao ya elimu so hawawezi kuchanganya mambo hayo yote kwa siku moja.
Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu wa mh naibu wazir anayeshughulikia maswala ya elimu hapa nchini kwa sasa kuwa national examination results kwa matokeo yaliyofutwa yanatarajia kutangazwa kesho baada ya kukamilika kwa marekebisho ya upangaji mpya wa madaraja. chanzo cha kuaminika n ndugu wa karibu
Muulize bas huyo ndg wa kuaminika kam na hayo ya fom 6 ynatangazwa.........
wadau kuna dogo matokeo yake yalikuwa hivi Phy-C,Chem-D,Math-D,Bio-D,Geog-D,Hist-C,Kisw-D,Eng-D,Civ-D.dv4.26 Mwenye maono ya mbali atoe msaada wake kuhusu kubadilika kwake hayo matokeo.
.....hongera uko jirani sana na ndugu wa waziri... ndugu wa karibu ni mkewe.. au mwanae au wewe mwenyewe umewasiliana naye
Huyo keshaenda A-level tayari maana ana div 2 nzuri tu akifeli sana atapata 23 isitoshe Math lazima apate C.
mkuu unauhakika gani kama kesho yanatangazwa?Kwa nini unataka utabiri wakati matokeo halisi yanatangazwa kesho?