NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,313
taarifa kutoka mbeya ni kwamba wananchi wameamua kuandamana kushinikiza kutolewa kwa matokeo ya jimbo la mbeya vijijini. Wananchi wamekabiliana na askari katika eneo la mbalizi, pia katika jengo la mkuu wa wilaya ya mbeya ambapo ndipo matokeo yanatarajiwa kutangazwa.
Wananchi wanadai kwamba kuna mabox ya kura yanataka kuingizwa kwa siri yakitokea jimbo la rungwe mashariki.
Updates zaidi zikipatikana tutapeana wakuu!!!
Kwa hiyo wanachelewesha makusudi kutangaza ili wakusanye huko yaliko tangazwa wanachelewesha matokeo wachanganye huku ambako hakuja tangazwa hii mbyaya !