Elections 2010 Matokeo Mbeya Vijijini

Elections 2010 Matokeo Mbeya Vijijini

taarifa kutoka mbeya ni kwamba wananchi wameamua kuandamana kushinikiza kutolewa kwa matokeo ya jimbo la mbeya vijijini. Wananchi wamekabiliana na askari katika eneo la mbalizi, pia katika jengo la mkuu wa wilaya ya mbeya ambapo ndipo matokeo yanatarajiwa kutangazwa.

Wananchi wanadai kwamba kuna mabox ya kura yanataka kuingizwa kwa siri yakitokea jimbo la rungwe mashariki.

Updates zaidi zikipatikana tutapeana wakuu!!!

Kwa hiyo wanachelewesha makusudi kutangaza ili wakusanye huko yaliko tangazwa wanachelewesha matokeo wachanganye huku ambako hakuja tangazwa hii mbyaya !
 
<<Mwanza.pdf.pdf>>
Soma kwa makini ujumbe ulioambatanishwa. wenye jina <<Mwanza.pdf.pdf>>
Haya ndiyo maazimio ya mafisadi kuhujumu uchaguzi Tanzania!!! !!!


My God, Tanzania yetu imegeuka kitu gani? Je nini cha kufanya ????? ????

Kama unapenda nchi yako, peleke hiii habari isomwe na watu wengi ili waaibishwe na hata walazimishe kwa mujibu wa sheria Wajiuzulu !!!!!!!

Nguvu ya Giza inaitafuna Tanzania. Tusikubali kuhujumiwa.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki wote walio waadilifu

Hii ni hatari sana kwa jamii kama yetu. Sina uhakika mbinu kama hii imetumika katika mikoa na vituo vingapi? kama wanaharakati tunahitaji kulisimamia jambo hili na kuhakikisha jamii yote inakuwa informed.

Najaribu kuhakiki ukweri ili nami niwasiliane na wenye hiyo access ya publication.

INAUMA SANA
 
Asante sana kwa taarifa za kusikia huko mbeya vijijini ni jambo la kumshukuru Mungu kama panatia matumaini ya kushinda maana tumechoshwa na serekali na mafisadi haw wanaoenda Ikul na kujichukulia chao mapema.bado CHADEMA TUKO JUUUUUUUUU JUUUU ZAIDI
 
Back
Top Bottom