Elections 2010 Matokeo Mbeya Vijijini


Kwa hiyo wanachelewesha makusudi kutangaza ili wakusanye huko yaliko tangazwa wanachelewesha matokeo wachanganye huku ambako hakuja tangazwa hii mbyaya !
 

Hii ni hatari sana kwa jamii kama yetu. Sina uhakika mbinu kama hii imetumika katika mikoa na vituo vingapi? kama wanaharakati tunahitaji kulisimamia jambo hili na kuhakikisha jamii yote inakuwa informed.

Najaribu kuhakiki ukweri ili nami niwasiliane na wenye hiyo access ya publication.

INAUMA SANA
 
Asante sana kwa taarifa za kusikia huko mbeya vijijini ni jambo la kumshukuru Mungu kama panatia matumaini ya kushinda maana tumechoshwa na serekali na mafisadi haw wanaoenda Ikul na kujichukulia chao mapema.bado CHADEMA TUKO JUUUUUUUUU JUUUU ZAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…