Matokeo na madaraja ya shule

Matokeo na madaraja ya shule

Patriot2

Senior Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
169
Reaction score
262
Mazoea hujenga tabia. Huu utaratibu wa number ndo unashhusha quality ya elimu. Haiwi problem solving based. Yaani ni banking model inatumika. Pump watoto hadi kieleweke. Ndo maana mtoto wa form One anjifunza mambo ya form 3.

Sasa huyo atapata muda wa kujadili mada viz a viz inavyoweza kumsaidia kubadili mazingira yaliyomzunguka? Mwishowe anabaki facts acculturated facts tu. By january sylabus imeisha. Unafanya mitihani tu. Ukifika mtihani wa taifa you have met all possible questions.

Hii model ya elimu ni mbaya sana. Inaagalia elimu kama accumulation of facts and not how those facts can change our own situation. Ndio maana katika nchi za wenzetu equivalent graduate na mtanzania ni mbingu na dunia.

They are very skilled and competent. We have papers. Fundi wa LA saba anmzidi ujuzi graduate of the same field sababu anajifunza through practice. Sisi tunasoma kujibu mitihani na ndio maana we cant na innovative. Kufaulu ndo telos na sio kuelimika. Elimu gani mtu wa la saba hajui kufua hata soksi ila anashinda ni vitabu tu. Huyu atakuwaje responsible na innovative?

Ndio maana wale wazee wa enzi za ukoloni pamoja na level ndogo ya qualification(vyeti) walikuwa competent hata ukiwasikiliza wanaongea. Kwa nini? Mfumo waliosomea. Shule zilikuwa na sport and gamba facilities, music rooms and instruments etc. Acha Waafrika waje sasa. Kukariri tu.

Kwa mfumo Huu tutabaki a consumer nation pamoja na vyuo kibao tulivyo navyo.
 
Ukifika mtihani wa taifa you have met all possible questions.
... ni kazi ya NECTA kuhakikisha hakuna swali linalojirudia; sio kazi ya watahiniwa kuacha ku-solve past papers simply baadhi ya maswali yatatoka kwenye mtihani hivyo kuwapa ufaulu wa juu. Shule bora ni bora tu; whatever teaching or examining model mtakayo-adopt wataendelea kuwa juu tu.

Iko hivi, teaching environment, supporting facilities, HR, na social factors zikivikwa koti liitwalo siasa contribution yake kwenye matokeo tunayoyaona leo ni kubwa! Shule zenye matokeo mazuri zimefanikiwa ku-overcome changamoto hizo na hasa siasa kwa kwenda na uhalisia badala ya politics.

"Fyatueni nitasomesha; elimu ni bure" ni maneno mafupi sana ya kisiasa majukwaani ila balaa lake kwa taifa sio la kitoto. Tuendelee kukata mauno kuwashangilia watawale milele na milele!
 
... ni kazi ya NECTA kuhakikisha hakuna swali linalojirudia; sio kazi ya watahiniwa kuacha ku-solve past papers simply baadhi ya maswali yatatoka kwenye mtihani hivyo kuwapa ufaulu wa juu...
Tanzania hakuna shule bora. Kuwa na A sio kipimo cha tosha cha ubora wa elimu. Mfuno ni mmoja tu kusoma kujibu mtihani
 
Tanzania hakuna shule bora. Kuwa na A sio kipimo cha tosha cha ubora wa elimu. Mfuno ni mmoja tu kusoma kujibu mtihani
... ubora wa shule unapimwaje? Kipimo ni nini?
 
Tanzania hakuna shule bora. Kuwa na A sio kipimo cha tosha cha ubora wa elimu. Mfuno ni mmoja tu kusoma kujibu mtihani
Na ndicho ulichosema, lakini mbona jamaa hakuelewi? Kang'ang'ana na mada ya ukariri na ufaulu wa mitihani!
 
Kupata A ni kujua facts. Kuelimika ni namna facts unazojua zitakusaidia kumudu mazingira yako. Kwa nini tunaimport engeneers from abroad kujenga barabara ilihali tuna qualified engeneers hapa waliograduate na shining colours? They only knoe5 facts.
... kwa mfumo wetu wa elimu kinachoangaliwa ni "cheti". Na kwa kuwa ndio utaratibu, shule makini zinazingatia "cheti" na sio hayo mengine.

Post yako ya kwanza umezidhihaki shule zinazofaulisha kwa kukimbizana zaidi kumaliza syllabus! Wa kulaumiwa sio hizo shule bali mfumo uliopo ndio unaopelekea hayo!
 
Sasa imeishakiri mapungufu then unasema shule makini. Mfumo duni unazalishaje shule makini? Kama mfumo mbovu basi kila kitu chini yake kibovu.
 
Back
Top Bottom