Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magazeti gani hayo mkuu, si uyataje angalau mojaMagazeti leo yanasomeka kua JK atengue matokeo hayo,je ni njia nzuri ya kuboresha elimu na unazani matokeo yakitenguliwa Form 4 watakua tayari kusoma wakafanye mitihani au ni kulazimishia ufaulu
Magazeti leo yanasomeka kua JK atengue matokeo hayo,je ni njia nzuri ya kuboresha elimu na unazani matokeo yakitenguliwa Form 4 watakua tayari kusoma wakafanye mitihani au ni kulazimishia ufaulu
Mtoa mada muongo hakuna gazeti lilioandika hiyo habari, sana sana alichokisema kawambwa ni kuwa kufeli kwa wanafunzi chanzo ni kuwa serikali imedhibiti mitihaniMwache atengue na mtazamo hasi aliokuwa nao,ni ajabu xana kutenda kosa na kuzidi kulijadili kosa!kwanini asijadili ni namna gani atalitatua hili tatizo,mawaziri na viongozi wa secta zote nchini kwa kushirikiana na wadau wa elimu jaribun kumshauri huyo raisi.
asitengue,matokeo yameonyesha hali halisi,lilipo ni kujiuliza shida ipo wapi ili tujenge elimu bora.kutengua itakuwa ujinga zaidi.HEKO KWA SERIKALI MAANA INAONYESHA IMEDHIBITI UIBAJI WA MITIHANI.
Mwache atengue na mtazamo hasi aliokuwa nao,ni ajabu xana kutenda kosa na kuzidi kulijadili kosa!kwanini asijadili ni namna gani atalitatua hili tatizo,mawaziri na viongozi wa secta zote nchini kwa kushirikiana na wadau wa elimu jaribun kumshauri huyo raisi.
umesoma magazeti yote?Mtoa mada muongo hakuna gazeti lilioandika hiyo habari, sana sana alichokisema kawambwa ni kuwa kufeli kwa wanafunzi chanzo ni kuwa serikali imedhibiti mitihani
alichokisema kawambwa ni kuwa kufeli kwa wanafunzi chanzo ni kuwa serikali imedhibiti mitihani
Mwanahalisi na majira