Matokeo Necta2012Kutenguliwa

Matokeo Necta2012Kutenguliwa

umesoma magazeti yote?
Ndugu hiyo habari ni nzito tena sana wala haiwezi kujificha huitaji kuhangaika ingetangazwa ungejua tu na magazeti yote yangeandika tena ukurasa wa mbele. Hata usiposoma unaweza sikia kwenye uchambuzi wa magazeti kupitia radio, hata kwenye mitandao unaweza soma almost 50% ya magazet yote
 
Mnataka kuwaandekeza hawa watoto.
Ni vema tushuhulikie mzizi wa tatizo na sio matunda ya tatizo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tume imeundwa na Lyimo.

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
 
Back
Top Bottom