Matokeo Tata ya Kidato Cha IV: Mkurugenzi wa NECTA, Bi. Ndalichako Ajitokeza TBC, Ajikanyagakanyaga!

Bi. Ndalichako, amepeleka nakala halisi za mitihani ili kuthibitisha baadhi ya wanafunzi, waliandika madudu, matusi na wengine wameandika "versi!". Kitendo cha kupeleka nakala halisi, badala ya kupeleka copy, ni kinyume cha kanuni, taratibu na sheria, kwa sababu mitihani halisi, ni miongoni mwa documents ziitwazo, "classified documents" ambazo zinakinga ya "confidentiality", linapotokea suala lolote linahusu kuonyeshwa kwa mitihani hiyo, Mkurugenzi wa NECTA, hana mamlaka ya kujibebea nakali halisi za mitihani hiyo, simply because mitahani hiyo iko in possession ya documents hizo!, alipaswa kutoa nakala, yaani copy na kupeleka TBC-1 na sio kupeleka nakala halisi!. Huku ni kujikanyaga kanyaga just to seek public sympathy ya justification ya matokeo ya mwaka huu kwa ku potray kuwa NECTA has no hand!, ni watahiniwa wa mwaka huu tuu ndio Vibonde!, na kuthibitisho hilo, ameleta mitihani halisi kuonyesha hivyi ndivyo walivyo!.
Pasco.

Mkuu Pasco nini kifanyike hapo kwa kukiuka utaratibu huo? Je anapaswa kushtakiwa?
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri hujanielewa, ni kwamba section C inaweza kuwa na mwaswali 5, mtahiniwa akambiwa ajibu 4 lakini moja ya mwaswali kati ya hayo moja ni compulsory, sasa katika marking iwapo mtahiniwa hajalifanya hili swali la compulsory akafanya mengine basi hata hayo mengine hawafanyi marking. umenipata?

:confused2::confused2: mkuu hili la kweli?
 
na shangaa watanzania bado wameendelea kulala. Wanaharakati mko wap? Au mpaka wagojwa wafe ndio muandamane? Hivi sio vifo vya watanzania 240000 kimaisha? Watanzania yafaa tuwashinikize hawa wapuuz kuondoka madarakani.
 
Ni nini maana ya compulsory question?
Nafikiri hujanielewa, ni kwamba section C inaweza kuwa na mwaswali 5, mtahiniwa akambiwa ajibu 4 lakini moja ya mwaswali kati ya hayo moja ni compulsory, sasa katika marking iwapo mtahiniwa hajalifanya hili swali la compulsory akafanya mengine basi hata hayo mengine hawafanyi marking. umenipata?
 
Bi Ndalichako, anahojiwa na Marine Hassan Marine, natamani swali la kwanza lilipaswa liwe, Nani mwenye Mamlaka ya Kuyatangaza Matokeo?. Nijuavyo mimi mwenye mamlaka ni Katibu Mtendaji, na ndivyo imekuwa ikifanyika miaka yote, kwa nini matokeo ya mwaka huu, yatangazwe na waziri?. Au ndio juhudi za Waziri Kawambwa, kujaribu kufurukuta, baada ya kupwaya kila alikopelekwa?, yaani Kawambwa ni "misfit!".
Pasco.
nakubaliana nawe,

lawama nyingi ni kwa Wizara kuliko Necta
 
Mkuu Pasco nini kifanyike hapo kwa kukiuka utaratibu huo? Je anapaswa kushtakiwa?
Ashtakiwe wap na nani?, kama maharaja letu tunafuata mfumo wa Westminster wa not guilt until proven, kila siku tunashuhudia camera mpaka ndani ya vyumba vya mahakama, litakuwa hili la kuanika majibu ya mitihani ya hao vibonde?!.
Pasco.
 
Timua waziri timua naibu waziri timua wakurugenzi timua makamishna timua ndalichako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Whether its Original documents or copy.... what matters ametueleza madudu wanayofanya watoto wetu. Sasa tungejuaje bila kuonyeshwa... hajataja jina la mtahiniwa. Mi nadhani kumkasirikia ndalichako sio solution kwani yeye kazi take ni kutunga, kusahihisha na kutoa matokeo kutokana na marking scheme yake. Tatizo lipo kwa wote kuanzia serikali, wazazi, walimu na hao wanafunzi wa digitali ndo usiseme....! Ndalichako amefanya kazi yake tusimlaumu, mlitaka awape A wakati mtu hastahili. By the way Feki sasa hivi hakuna ndio maana hata shule binafsi zinafeli.

Bi. Ndalichako, amepeleka nakala halisi za mitihani ili kuthibitisha baadhi ya wanafunzi, waliandika madudu, matusi na wengine wameandika "versi!". Kitendo cha kupeleka nakala halisi, badala ya kupeleka copy, ni kinyume cha kanuni, taratibu na sheria, kwa sababu mitihani halisi, ni miongoni mwa documents ziitwazo, "classified documents" ambazo zinakinga ya "confidentiality", linapotokea suala lolote linahusu kuonyeshwa kwa mitihani hiyo, Mkurugenzi wa NECTA, hana mamlaka ya kujibebea nakali halisi za mitihani hiyo, simply because mitahani hiyo iko in possession ya documents hizo!, alipaswa kutoa nakala, yaani copy na kupeleka TBC-1 na sio kupeleka nakala halisi!. Huku ni kujikanyaga kanyaga just to seek public sympathy ya justification ya matokeo ya mwaka huu kwa ku potray kuwa NECTA has no hand!, ni watahiniwa wa mwaka huu tuu ndio Vibonde!, na kuthibitisho hilo, ameleta mitihani halisi kuonyesha hivyi ndivyo walivyo!.
Pasco.
 
Nafikiri hujanielewa, ni kwamba section C inaweza kuwa na mwaswali 5, mtahiniwa akambiwa ajibu 4 lakini moja ya mwaswali kati ya hayo moja ni compulsory, sasa katika marking iwapo mtahiniwa hajalifanya hili swali la compulsory akafanya mengine basi hata hayo mengine hawafanyi marking. umenipata?

Mmh kama ndio wanavyofanya basi watakula vichwa vingi, wanajuaje kama mtu limemshinda akaamua kuliacha? Inawezekana wakawa na usahihishaji wao kuwa asipofanya hilo compulsory basi anakosa maksi fulani, au kuna uhakika kuwa wanakata section nzima? Manake najua kwa wengi ujanja uliokuwa unatumika ni kufanya maswali mengine vizuri, halafu lile la compulsory mtahiniwa anakuwa kama amelianza fulani, hivyo anaishia kukoseshwa tu kwa maana ya kuwa halijui rather than kukata section nzima.....
 
Public sympathy kwa kitu gani ambacho kakifanya against public interest? Kwani hatua walizochukuliwa public inaona hazikustahili? Ni kama umemuattack huyu mama bure. Kwa logic sioni kama kuna lolote kakosea. Watoto wamechemka, tatizo linajulikana limeanzia serikalini na walimu wake thats all.

Wote wanapaswa kulaumiwa wakiwemo wanafunzi,wazazi ndo wa kulaumiwa sana kwanza kwa kushindwa kuwajibisha serikali vilevile kwa kushindwa kusimamia maendeleo ya watoto wao wawapo mashuleni mtu anapeleka mtoto shule haonekani tena kuja kufatilia maendeleo mpaka siku ya graduation,ujiulize inakuwaje mtoto anakaa miaka saba shule hajui kusoma wala kuandika ina maana mzazi alikuwa hawajibiki na kuna baadhi ya wazazi waitwapo mashuleni kwa matatizo ya watoto wao hawafiki sasa nani wa kulaumiwa zaidi?
 
Barza la mitihani kuna tatizo hasa kwenye usahihishaji, yaani marking. mfano mwanafunzi asipofanya swali la compulsory section C yenye marks 60% kwenye mitihani ya lugha (kiswahili na Englis) section yote atapata zero. Huoni kama kuna haja ya kuangalia tatizo?

Acha kulisha watu tango pori
 
wala hapakuwa na haja ya huyu mama (Bi Ndalichako) kwenda kwenye runinga kueleza sababu za wanafunzi kufeli kwa sababu sijasikia watu wengi wanaolalamika kwamba baraza wamesahihisha mitihani vibaya au wametunga mitihani kinyume na syllabus. Anayetakiwa kutoa maelezo ya jumla ni waziri husika maana hata huyo Ndalichako yupo chini ya waziri wa elimu.

Hivyo kushambuliwa ni yeye kajitakia, kimsingi ata NECTA inaweza kuwa tatizo hivyo wakati tukitafuta ufumbuzi ipo haja ya kuitathimini mitihani yenyewe pamoja na usahihishaji wake.

Kabla ya kuilaumu NECTA turudi nyuma tungalie watoto wenyewe, mazingira ya shuleni na nyumbani, ufundishaji wa walimu, upatikanaji wa vifaa, support toka serikalini, upatikanaji wa waalimu nk
 
Bi. Ndalichako, amepeleka nakala halisi za mitihani ili kuthibitisha baadhi ya wanafunzi, waliandika madudu, matusi na wengine wameandika "versi!". Kitendo cha kupeleka nakala halisi, badala ya kupeleka copy, ni kinyume cha kanuni, taratibu na sheria, kwa sababu mitihani halisi, ni miongoni mwa documents ziitwazo, "classified documents" ambazo zinakinga ya "confidentiality", linapotokea suala lolote linahusu kuonyeshwa kwa mitihani hiyo, Mkurugenzi wa NECTA, hana mamlaka ya kujibebea nakali halisi za mitihani hiyo, simply because mitahani hiyo iko in possession ya documents hizo!, alipaswa kutoa nakala, yaani copy na kupeleka TBC-1 na sio kupeleka nakala halisi!. Huku ni kujikanyaga kanyaga just to seek public sympathy ya justification ya matokeo ya mwaka huu kwa ku potray kuwa NECTA has no hand!, ni watahiniwa wa mwaka huu tuu ndio Vibonde!, na kuthibitisho hilo, ameleta mitihani halisi kuonyesha hivyi ndivyo walivyo!.
Pasco.

Usichanganye habari -ndalichako ni nani? Na hizo document za siri za baraza nani ni mtunzaji? Nahapo tbc watabaki na orijino?. Pasco usichanganye mambo! Shika moja la vijana kufeli tulimalize! CEO. Kushka document ya siri iliyo chini yake ndani ya news room unaita kukiuka taratibu?.
 
Public sympathy kwa kitu gani ambacho kakifanya against public interest? Kwani hatua walizochukuliwa public inaona hazikustahili? Ni kama umemuattack huyu mama bure. Kwa logic sioni kama kuna lolote kakosea. Watoto wamechemka, tatizo linajulikana limeanzia serikalini na walimu wake thats all.

Muachen ajitete huyo mama ana haki ya kutetea kitumbua chake,lkn Maswali yafuatayo yanahitaji majibu,kwanini hawakutunga Mtihani wa kubahatisha kwa masomo yoote?nimeuliza swali hilo kwa sababu zifuatazo?shule ina Walimu wawil wanaofundisha masomo ya kiswahil/civics halafu unamtahin mwanafunz kwa Masomo saba,hayo masomo matano yaliobaki ajibu nin?kwanin wawatain wanafunz kwa vitu ambavyo hajasoma?watunge mitihani ya kabahatisha na majibu yawe yakubahatisha vilevile,km msomi huyu kitibu mkuu wa baraza anaulizwa tuambie sababu za kisayansi zilizopelekea wanafunz kufeli,,,Anajibu jibu la kubahatisha kua tatizo ni radio MAWINGU,Kwanin watahiniwa wake wasipewe maswali yakubahatisha ili wajibu majibu ya kubahatisha km alivyojibu Bi Ndalichako.
 
Barza la mitihani kuna tatizo hasa kwenye usahihishaji, yaani marking. mfano mwanafunzi asipofanya swali la compulsory section C yenye marks 60% kwenye mitihani ya lugha (kiswahili na Englis) section yote atapata zero. Huoni kama kuna haja ya kuangalia tatizo?
Ndugu mbona unajichanganya sasa ushaambiwa ni compulsory halafu unaacha unategemea nini kifanyike wakati hujafuata maelekezo
 
Ashtakiwe wap na nani?, kama maharaja letu tunafuata mfumo wa Westminster wa not guilt until proven, kila siku tunashuhudia camera mpaka ndani ya vyumba vya mahakama, litakuwa hili la kuanika majibu ya mitihani ya hao vibonde?!.
Pasco.

Kwa hiyo Pasco tutalalamika mpaka lini?
 
Last edited by a moderator:
Muachen ajitete huyo mama ana haki ya kutetea kitumbua chake,lkn Maswali yafuatayo yanahitaji majibu,kwanini hawakutunga Mtihani wa kubahatisha kwa masomo yoote?nimeuliza swali hilo kwa sababu zifuatazo?shule ina Walimu wawil wanaofundisha masomo ya kiswahil/civics halafu unamtahin mwanafunz kwa Masomo saba,hayo masomo matano yaliobaki ajibu nin?kwanin wawatain wanafunz kwa vitu ambavyo hajasoma?watunge mitihani ya kabahatisha na majibu yawe yakubahatisha vilevile,km msomi huyu kitibu mkuu wa baraza anaulizwa tuambie sababu za kisayansi zilizopelekea wanafunz kufeli,,,Anajibu jibu la kubahatisha kua tatizo ni radio MAWINGU,Kwanin watahiniwa wake wasipewe maswali yakubahatisha ili wajibu majibu ya kubahatisha km alivyojibu Bi Ndalichako.
JIDONDOFILA kama shule yako ulikuwa hujawaandaa wanafunzi kufanya mtihani kama mwalimu mkuu ungetumia busara kwa kuahirisha wasifanye huo mtihani mpaka mwanakani. Wewe hujamaliza syllabus unakimbilia kulipia ada ya kufanya mtihani ukitegemea "multiple questions"?
 
Last edited by a moderator:
Muachen ajitete huyo mama ana haki ya kutetea kitumbua chake,lkn Maswali yafuatayo yanahitaji majibu,kwanini hawakutunga Mtihani wa kubahatisha kwa masomo yoote?nimeuliza swali hilo kwa sababu zifuatazo?shule ina Walimu wawil wanaofundisha masomo ya kiswahil/civics halafu unamtahin mwanafunz kwa Masomo saba,hayo masomo matano yaliobaki ajibu nin?kwanin wawatain wanafunz kwa vitu ambavyo hajasoma?watunge mitihani ya kabahatisha na majibu yawe yakubahatisha vilevile,km msomi huyu kitibu mkuu wa baraza anaulizwa tuambie sababu za kisayansi zilizopelekea wanafunz kufeli,,,Anajibu jibu la kubahatisha kua tatizo ni radio MAWINGU,Kwanin watahiniwa wake wasipewe maswali yakubahatisha ili wajibu majibu ya kubahatisha km alivyojibu Bi Ndalichako.
Ndugu dhumuni la NECTA ni hili hapa
THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA (NECTA) is Government Institution which was established by the Parliamentary
Act No. 21
of 1973. NECTA is responsible for the administration of all National Examinations in Tanzania.
Hawahusiki na kujua shule ina walimu wangapi au haina, kama zinamaabara au hazina je wanafunzi wanasomaje
 
Nasikitika sana kwani kizazi hiki kimeshindwa kutumia technology vizuri! Badala ya wao kutumia technology kupata vitu wanavyokosa darasani hata kusingekuwa na waalimu, wao huangalia picha za ngono, download music, sports news na ujinga mwingi ambao kwao sio priority kwa sasa.
Nyie hamuwaoni watoto hawa wajinga wakishinda na headphone masikioni kutwa utadhani pilot!!!! muulize kitu kitu cha darasani au hata jambo la kupima uwezo tu wa kawaida....ataenda chaka hadi utashangaa.
Sijui kesho itakuwaje kwa mtindo huu wakati ndo kwanza technology inaingia Tz!!!!!!!
 
Back
Top Bottom