Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0. Toka jana Mzee katuonesha na Coach amekubali tufuate Masharti

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Wanayanga msiwe na mashaka Hatimaye kocha mzungu kakubali tuendelee na mila zetu. Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0.

Hii itatuweka nafasi nzuri katika kuusakama Ubingwa. Simba wanaenda Poteza Mechi 5 nasi mkakati wetu ni kushinda mechi zote. Tumerudi kushirikiana na KAMATI YA WAZEE.
 
Hizo hela mnazomlipa huyo mzungu si Bora mngewapa hiyo kamati ya hirizi pumuzi tukajua moja kuwa kocha wenu ni tungule..😜
 
Hata tukipoteza 5 bado tunakua mbele yenu point 4/5[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kocha anasimamia mazoezi na kupanga kikosi ushindi unapatikana kwa kupitia Wazee. USIBISHE WEWE.
Hizo hela mnazomlipa huyo mzungu si Bora mngewapa hiyo kamati ya hirizi pumuzi tukajua moja kuwa kocha wenu ni tungule..😜
 
SHIDA MNA THREAD NYINGI ZA MECHI MOJA MAJIBU YALIKUWA HAPA SAA SITA
 
TAFUTA HII THREAD UPATE MATOKEO YA YYGA KABLA YA MECHI
NILIWAHI WAMBIA HAPAAA MECHI ZA MWISHO SIOO ZAKUSHABKIA MTAKUFA NA PRESSURE
AIWEZEKANA MNAIGERIA ANAJUA DRW NA CS
SISI TUNAKIMBILIA UWANJAN KUSUBIRI BAO TATU WENGINE UNASIKIA SITA HAHAJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…