Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana rafiki. Ndio mpira huo.Daah nimeumia sana
Nshapoa tayari. Hahaa.Pole njoo nikupe faraja
Hahaaa. Ndio mpira ule Mkuu.Mko mbele kwa kuongoza kufungwa kwa goli mbili leo!
Daima mbele!
Hahaaaa. Lol.Miaka minne bila kunyanyua kwapa imefika kipindi yananuka sasa. Mtupe shukrani sisi
Hahahaaaaa. Haya bana Mtani mwaka wenu huu.Hahahaha Dear, Hmmmm!! Uwez Amin Mpira wenyewe Hata Sikuufatilia, Ndo nakuja Ona Alerts Yako Nikajua tuu Ndoo tumebeba.
Nilikuwa nasubilia jmosi ndo Tubebe Ndoo, Ila Naona Mtani Umeturahisishia Aksante tena na tena.
MWAKA WETU.
Marudiano Usiniache Twende Wote InshaAllah.
InshaAllah, NasubiriaHahahaaaaa. Haya bana Mtani mwaka wenu huu.
Usijali Mtani nina imani hatutapoteana tena ka siku ile. Teh.
Ahsante. Pole na wewe rafiki.Pole sana rafiki. Ndio mpira huo.
Yan linawapa wenge sana. Kama hawaamini amini vile.Hahaaaa. Lol.
Ndio sababu kama wamechanganyikiwa hawaamini lol.
Ahsante nawe pia rafiki. Tusubiri msimu ujao sasa.Ahsante. Pole na wewe rafiki.
Hahahaaa. Umewaonaaeee.Yan linawapa wenge sana. Kama hawaamini amini vile.
Hahahaaa. Umewaonaaeee.
Wanahangaika balaaa. Unadhani misimu mitano mchezo rafiki yaani kipindi chote hicho Kombe wanalisikia tu na kuliona kwenye magazeti. Teh.
Yan linawapa wenge sana. Kama hawaamini amini vile.
Duuuhhh