Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Bajeti imebana hadi golipa mmoja tu ndio kaenda mbeya na sub mbili tu, bajeti ya mihogo hadi may 28 sio nzuri
 
Hii timu ni ya tanzania au somalia mbona wanakula vichapo sana

Hii Ni Timu inayojiita Wakimataifa almaarufu NJAAKALI FC inayopatikana Katika Madimbwi Ya Jangwani ambayo Kutokana na Kuitia Aibu Tanzania Kila Mara inapocheza Nje ya Tanzania ndiyo Watanzania Tumeipiga Ban inapokwenda Kugegedwa na Waarabu isijiite Ni Ya Tanzania Bali ijiite Ni Wakimataifa wakimaanisha Wao Ni Unrecognized Kutoka Taifa letu Bali Matifa Yote Wapo (Wakimataifa) Yani Anonymous.
 
Yani Kumbe Hawa NjaaKali FC Bado Hawajaamini Kuwa Simba Bingwa 😀😀😀
Eti wanaendelea Kuzifatilia Points Za Mbeya City Kimyakimya Kama walivyokuwa Wakimfukuza Mwizi Kimyakimya.
 
Ukweli Usiofichika Ni Kuwa Ndani Ya Wiki Moja [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kapigwa goli 6 - 0 Kutokana Njaa Ya Ajabu inayowakabili Pale Madimbwini pao
 
Tatizo yanga mlimfukuza Manji, na mtazidi kua na hali mbaya mpk mdate
 
Yani Kumbe Hawa NjaaKali FC Bado Hawajaamini Kuwa Simba Bingwa 😀😀😀
Eti wanaendelea Kuzifatilia Points Za Mbeya City Kimyakimya Kama walivyokuwa Wakimfukuza Mwizi Kimyakimya.
Tff walishaongelea hii ishu, hawa jamaa wakubali tu sasa hivi kanuni, taratibu na sheria za soka zinafuatwa. Malinzi hayupo! Hata msimu uliopita malinzi alitupokonya point tatu na kuwapa kagera.
 
Back
Top Bottom