Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Hahahaaaa. Huruma mlitia nyie Mtani misimu mitano hola.

Ndio sababu baadhi ya mashabiki wenu wanakaribia kuwehuka sababu utakuta toka waanze kuipenda Simba hawajui nini maana ya Ubingwa. Koh koh koh.
Pole njoo nikupe faraja
 
Mbali na yote tunayopitia bado sikati tamaa. Kila la kheri timu yangu pendwa Yanga.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Nimeipenda sana hii maana imekaa kama walivyo mashabiki wa Arsenal!
 
This is Simba Brother
FB_IMG_1525966938617.jpg
 
Haki Ya Nani Anachokizungumza HAJI MANARA Ndani Ya Azam TV Muda Huu Mungu Ndiye Anayejua 😀😀😀


Eti "Njaa Kali"
😀😀
 
sasa viongozi wa yanga wanangoja nini klabuni, wakabidhi timu haraka kwa wanachama,
 
Ni aibu sana kwa Yanga lakini ndivyo mpira ulivyo, wacha Simba watangaze tu ubingwa leo baada ya matokeo haya ya Yanga na Prisons ya Mbeya. Huu msimu siyo wa Yanga na hili lilionekana tokea mwanzo kabisa. Simba walikuja msimu huu wakiwa wamejipanga vizuri sana kuliko Yanga. Iliyobakia ni Yanga kuanza kujipanga kwa msimu ujao tu maana hata kwenye mashindano ya kimataifa wanayoshiriki hawavuki raundi ya pili; hali yao ni mbaya sana.
Yani yanga ilichonifanya juzi na leo hali vile wamenikera xn
 
Back
Top Bottom