Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Goooooaaal Goooooaaal Goooooaaal.. Tanzania Prisons wanapata bao la pili

Tanzania Prisons 2-0 Yanga SC
 
Duhhh ata kama adui mwombee njaa ila hii ya Yanga inatia huruma, yani sub kuna wachezaji wawili tu na wimbi la wachezaji kuendelea kugoma linawezekana kuendelea kuongezeka

Nina wasi wasi ata match ya shirikisho Yanga atakufa tena uwanja wa nyumbani maana wachezaji wanaodai mafao yao sidhani kama watakuwa washalipwa na ata hawa wanaocheza ni wale wanaodai pesa kiduchu kwakuwa hawachezi mara kwa mara
Usikariri kila kitu ni kugoma imelekwa timu B ili kuacha wengine kwenye maandalizi.
Moja ya mikakati ya kimichezo wakati mwengine ndio maana watu wanawaita mbumbumbu
 
88' Tanzania Prisons 2-0 Yanga SC.. Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya
 
Golikipa Kakolanya anapewa kadi ya njano kwa kubishana na mwamuzi.
 
Back
Top Bottom