Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Unatia huruma masikini...hahahaa..ndoka soka hilo..
Hahahaaaa. Huruma mlitia nyie Mtani misimu mitano hola.

Ndio sababu baadhi ya mashabiki wenu wanakaribia kuwehuka sababu utakuta toka waanze kuipenda Simba hawajui nini maana ya Ubingwa. Koh koh koh.
 
Usikariri kila kitu ni kugoma imelekwa timu B ili kuacha wengine kwenye maandalizi.
Moja ya mikakati ya kimichezo wakati mwengine ndio maana watu wanawaita mbumbumbu
Hilo nalo neno..! kweli hii si Yanga A ni yanga B....hata waandishi wetu wameandika kuwa Yanga 'pungufu'kuivaa Prison leo..mi nikawa natoa macho kuhesabu wachezaji pungufu...nimegundua wapo 11..wanahabari wametulemaza sana...yaani tunawaza tofauti kabisa..!mchezaji gani hapo kasajiliwa Yanga B..!
 
Mechi zilizobaki Yanga tokeni kambini mkapige vibarua mtaani... mtakufa na njaa.
Mwambieni Ajibu Abadilishe mganga wake.
Poleni watani ni mapito tu.

THIS IS SIMBA
 
90' Za mchezo wa VPL kati ya Tanzania Prisons Vs Yanga SC umekwisha uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.. Matokea Tanzania Prisons wamepata magoli mawili kwa bila.

Asanteni.. Ghazwat
 
Hahahaaaa. Huruma mlitia nyie Mtani misimu mitano hola.

Ndio sababu baadhi ya mashabiki wenu wanakaribia kuwehuka sababu utakuta toka waanze kuipenda Simba hawajui nini maana ya Ubingwa. Koh koh koh.
Nakusifu tu ni mmoja kati ya wadada wachache wapenda burudani ya soka..uko social sana..
 
Ni aibu sana kwa Yanga lakini ndivyo mpira ulivyo, wacha Simba watangaze tu ubingwa leo baada ya matokeo haya ya Yanga na Prisons ya Mbeya. Huu msimu siyo wa Yanga na hili lilionekana tokea mwanzo kabisa. Simba walikuja msimu huu wakiwa wamejipanga vizuri sana kuliko Yanga. Iliyobakia ni Yanga kuanza kujipanga kwa msimu ujao tu maana hata kwenye mashindano ya kimataifa wanayoshiriki hawavuki raundi ya pili; hali yao ni mbaya sana.
 
usiwapendelee Yanga.....kimataifa haijawahi kufanya vizuri hata siku moja. Wacha ife tu wao na Simba kwani ndiyo wanaoua mpira wetu hapa Tanzania.
 
Masikini wee, Mwarabu umemfanyanini gongo wazi hata agawe hovyo hivi?
 
Ni aibu sana kwa Yanga lakini ndivyo mpira ulivyo, wacha Simba watangaze tu ubingwa leo baada ya matokeo haya ya Yanga na Prisons ya Mbeya. Huu msimu siyo wa Yanga na hili lilionekana tokea mwanzo kabisa. Simba walikuja msimu huu wakiwa wamejipanga vizuri sana kuliko Yanga. Iliyobakia ni Yanga kuanza kujipanga kwa msimu ujao tu maana hata kwenye mashindano ya kimataifa wanayoshiriki hawavuki raundi ya pili; hali yao ni mbaya sana.
Upo nchi gani? Wapo hatua ya makundi we bado unaongelea raundi ya pili? Huko wamevuka, kwa zaidi ya miaka kumi ni wao pekee wamefika hatua hiyo kwa timu zote za Tanzania bara na Visiwani
 
Hii timu ni ya tanzania au somalia mbona wanakula vichapo sana
Tanzania pale kwenye mafuriko ya Mwendo Kasi.. Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji196] [emoji196]
 
Back
Top Bottom