Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Woyooooooooooooo
Ubingwa huoooo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woyooooooooooooo
Unatia huruma masikini...hahahaa..ndio soka hilo..Acha tu mumy. Ila ni mapito tu haya.
Mbona nilishatabiri hapo juu prison atashinda goli moja
Hahahaaaa. Huruma mlitia nyie Mtani misimu mitano hola.Unatia huruma masikini...hahahaa..ndoka soka hilo..
Hilo nalo neno..! kweli hii si Yanga A ni yanga B....hata waandishi wetu wameandika kuwa Yanga 'pungufu'kuivaa Prison leo..mi nikawa natoa macho kuhesabu wachezaji pungufu...nimegundua wapo 11..wanahabari wametulemaza sana...yaani tunawaza tofauti kabisa..!mchezaji gani hapo kasajiliwa Yanga B..!Usikariri kila kitu ni kugoma imelekwa timu B ili kuacha wengine kwenye maandalizi.
Moja ya mikakati ya kimichezo wakati mwengine ndio maana watu wanawaita mbumbumbu
Huo hapo mguuni mzee wa bucketUbingwa huoooo!
Daah nimeumia sanaSouthern Highland , Zamaulid , zeshchriss , Joseverest , Prince Kunta, hazard cfc na wengine wengi timu yetu yacheza leo.
Nakusifu tu ni mmoja kati ya wadada wachache wapenda burudani ya soka..uko social sana..Hahahaaaa. Huruma mlitia nyie Mtani misimu mitano hola.
Ndio sababu baadhi ya mashabiki wenu wanakaribia kuwehuka sababu utakuta toka waanze kuipenda Simba hawajui nini maana ya Ubingwa. Koh koh koh.
Mbali na yote tunayopitia bado sikati tamaa. Kila la kheri timu yangu pendwa Yanga.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Ni aibu sana kwa Yanga lakini ndivyo mpira ulivyo, wacha Simba watangaze tu ubingwa leo baada ya matokeo haya ya Yanga na Prisons ya Mbeya. Huu msimu siyo wa Yanga na hili lilionekana tokea mwanzo kabisa. Simba walikuja msimu huu wakiwa wamejipanga vizuri sana kuliko Yanga. Iliyobakia ni Yanga kuanza kujipanga kwa msimu ujao tu maana hata kwenye mashindano ya kimataifa wanayoshiriki hawavuki raundi ya pili; hali yao ni mbaya sana.
Upo nchi gani? Wapo hatua ya makundi we bado unaongelea raundi ya pili? Huko wamevuka, kwa zaidi ya miaka kumi ni wao pekee wamefika hatua hiyo kwa timu zote za Tanzania bara na VisiwaniNi aibu sana kwa Yanga lakini ndivyo mpira ulivyo, wacha Simba watangaze tu ubingwa leo baada ya matokeo haya ya Yanga na Prisons ya Mbeya. Huu msimu siyo wa Yanga na hili lilionekana tokea mwanzo kabisa. Simba walikuja msimu huu wakiwa wamejipanga vizuri sana kuliko Yanga. Iliyobakia ni Yanga kuanza kujipanga kwa msimu ujao tu maana hata kwenye mashindano ya kimataifa wanayoshiriki hawavuki raundi ya pili; hali yao ni mbaya sana.
Pamoja mkuu tusherekee ubingwaNimeona ndo nikasema kama itakuwa hivyo watakuchukia.
Umekosea kidogo tu mkuu.
Ila ndala wamekalia.