Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtabiri nakuona.Mkuu mahesabu yanakuja vizuri
Sina nia mbaya ni utabiri tu
Hahaaaaaa. LolLast time ulitabiri 4 bila ikawa, leo ikiwa utabebeshwa busha.
Leo imegomaMkuu mahesabu yanakuja vizuri
Ha ha haYANGA WAMECHOMEKEWA CHA PILI KIKAVU KABISA!
Usikariri kila kitu ni kugoma imelekwa timu B ili kuacha wengine kwenye maandalizi.Duhhh ata kama adui mwombee njaa ila hii ya Yanga inatia huruma, yani sub kuna wachezaji wawili tu na wimbi la wachezaji kuendelea kugoma linawezekana kuendelea kuongezeka
Nina wasi wasi ata match ya shirikisho Yanga atakufa tena uwanja wa nyumbani maana wachezaji wanaodai mafao yao sidhani kama watakuwa washalipwa na ata hawa wanaocheza ni wale wanaodai pesa kiduchu kwakuwa hawachezi mara kwa mara
Mbona nilishatabiri hapo juu prison atashinda goli mojaLast time ulitabiri 4 bila ikawa, leo ikiwa utabebeshwa busha.
Pozi zimeniisha hapa ...hii team itaniua mimiSouthern Highland , Zamaulid , zeshchriss , Joseverest , Prince Kunta, hazard cfc na wengine wengi timu yetu yacheza leo.
Acha tu mumy. Ila ni mapito tu haya.Pozi zimeniisha hapa ...hii team itaniua mimi
Woyooooooooooooo88' Tanzania Prisons 2-0 Yanga SC.. Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya
Hahahaaa. Lol.Usikariri kila kitu ni kugoma imelekwa timu B ili kuacha wengine kwenye maandalizi.
Moja ya mikakati ya kimichezo wakati mwengine ndio maana watu wanawaita mbumbumbu