Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Haiwezekani sugu atoke Leo jela afu wanambeya tufungwe
 
Hahahaaaaa. Haya bana Mtani mwaka wenu huu.

Usijali Mtani nina imani hatutapoteana tena ka siku ile. Teh.
 
Yan linawapa wenge sana. Kama hawaamini amini vile.
Hahahaaa. Umewaonaaeee.

Wanahangaika balaaa. Unadhani misimu mitano mchezo rafiki yaani kipindi chote hicho Kombe wanalisikia tu na kuliona kwenye magazeti. Teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…