asalaleeeee yanga yangu mimi inanitesa Mimi nna machungu mimigolikipa mwenyewe ana chechemea, yanga yangu inatia huruma sana
Ndio mdogo wangu.Kabisa, asikubali kushindwa si mshindani!
Hahahaaa. Lol.Njaa itawauwa Hawa [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG]!! Nadhani Karibuni Yanga itatangaza Kufilisika.