Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

15 ' Tanzania Prisons 0-0 Yanga SC VPL uwanja wa Sokoine mjini Mbeya
 
Golikipa wa Prisons yuko chini baada kupata rabsha.. Na amesimama na Mpira unaendelea
 
Kuanzia hapa tusibabaishwe tena mzee akilimali na wenzake maana timu yetu inaabika kwa kweli
 
Yani Kwa Mpira Wenyewe Huu ulivyo Mbovu! Bora Niangalie Movie ya The Mummy Kwenye Azam One.
 
28' anakwenda Paul wa Yanga lakini golikipa Kalambo anatokea na kudaka. Ilikuwa ni hatari sana
 
Yanga watafungwa goli moja halafu ndo hiyo hiyo goal
 
35' Tanzania Prisons 0-0 Yanga uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.. Mpira si mkali sana ni mashambulizi ya hapa na pale
 
44' Yohana Mkomola anapiga kichwa na kutoka nje ya lango la Tanzania Prisons.. Ilikuwa nafasi nzuri kwake kuandika bao
 
45+2 'kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.. Namna mpira ni mapumziko timu zote zinatoka uwanjani bila kufungana kwa kipindi hiki cha kwanza
 
Back
Top Bottom