Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Hivi Simba wanakabidhiwa lini kombe lao?😀😀😀
 
Mpira umeanza kipindi cha pili uwanja wa Sokoine mjini Mbeya

Tanzania Prisons 0-0 Yanga SC
 
52' VPL uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.. Tanzania Prisons bila na Yanga bila
 
56' Tanzania Prisons wanapata Painatiiiii baada ya mchezaji wa Yanga kuunawa mpira eneo la hatari
 
58' Goooooaaal Goooooaaal.. Tanzania Prisons wanapata bao la kwanza baada ya mkwaju wa painati kutoka kwa mchezaji Mpepo.

Tanzania Prisons 1-0 Yanga SC
 
Kwa maana Leo Simba kashakuwa Bingwa huu mpira huu
 
Yanga wameshashikwa kalio tayari! Simba hoyeeeeh
 
63' Tanzania Prisons wanafanya mabadiliko.. Anatoka James na nafasi yake inachukuliwa na Mwihambi
 
Mohamed Rashid akosa goli la wazi kabisa.. Ilikuwa ni hatari sana lango la Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…