Mkuu Simba waneingiaje hapa, Mimi Yanga damu[/QKumbuka wanasimba wsnzio wanakuona humu[/QUOTEu]
Hata uandishi wako unaonyesha roho inavyokuuma
Mkuu uko nje ya mada tafadhari jikite mahali husikalabda niseme kitu muhimu kuhusu simba na mashabiki wake ni kuwa,
droo/sare/suluhu baina yake na lipuli imewa athiri sana kisaikolojia, imewaumiza mno, imewachanganya sana. tena hayakuwa mategemeo yao hata kidogo.
ila niwashauri kwa kuwa wao wame doda wasituombee mabaya wana yanga maana malengo yao na sisi yanafanana, kwamba ni kuchukua ubingwa. over!!
Mkuu muda utaongea jus waitEndelea kuota na kutuombea mabaya,eti upepo? Unajifanya mnakikosi kipana kumbe mmejaza wachezaji wa type moja yote maviungo hamna plan BView attachment 946146
Mkuu, hivo vidonge vyote mnyama atavimaliza??, ni homa ya Lipuli au??Endelea kuota na kutuombea mabaya,eti upepo? Unajifanya mnakikosi kipana kumbe mmejaza wachezaji wa type moja yote maviungo hamna plan BView attachment 946146
Mkuu, hata Leicester City ya Uingereza ilipokuwa inawaburuza vigogo wa Ligi ya EPL mwaka ule, watu walicomment kama ulivyosema wewe. Ila mwisho wa siku wakaishia kushika viuno. Endelea kuota huenda ukapatia.Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088