Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Ligi bado sana, ndio kwanza imefika Nusu.
Simba ina uwezo mkubwa wa kuchukua ubingwa kupita timu zote.
Huu mpira wa putaputa, piga nikimbize, nilenge kichwani, sikuzote hauna mwisho mzuri.
Time Will Tell


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi Bado Sana Simba ana viporo kibao
Yanga hajacheza na Azam
Vipigo vinakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumejipanga kuhakikisha atupotezi mechi hata 1 mpk tff watakapoamua wao mikia ianze kucheza tpl tuwe na tofauti ya point hata 30,hlf ndio mtakapojua utamu wa viporo uko vp,maana mko caf,sports pesa cup inakuja huku viporo vya tpl,lzm mtengeneze injury na uchovu kwa wachezaji wenu,tayari mna wachezaji 3 muhimu wana injury,japo kuna 2 mnafanya siri
 
Simba hawezi shindwa Kula vipora wanna kikosi kipana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…