Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
We hujitambui,wanaompa sifa zahera sio yanga na TFF km hujui.au hukumbuki Ni kocha Bora wa mwez novemba.Halafu utasemaje yanga inakikosi kibovu wakati inashinda mech zilezile ambazo upande wa pili wenye kikosi kizuri Ni shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom