limbende
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,038
- 621
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ambokike atakua hajacheza eeJumamosi uko na Mbeya city
Unamjua eliud Ambokile? Anakusubiri
Yaani huu uzi ni aibu tupuHvi we brave one muanzisha Uzi huu huoni haibu Hadi Leo hii.. So uwaombe mods waufute huu Uzi wako..!!!
🤣🤣🤣🤣🤣 Hatari sana.Huu upepo vepeeeeee ...... Muanzisha mada umeminya P hadi umeharibu kizazi
Sent using Jamii Forums mobile app
naona upepo unaendelea
Soma hiyooooUpepo unazidi kuvuma, tena wa kimbunga na madhara ya kimbunga yanajulikana duniani kote
Sent using Jamii Forums mobile app
Waufute wa Nini? Nasisitiza huu upepo utakata tu mechi bado nyingi sanaHvi we brave one muanzisha Uzi huu huoni haibu Hadi Leo hii.. So uwaombe mods waufute huu Uzi wako..!!!
Tulia wewe ligi ndo kwanza round ya 18 Kati ya 38Huu upepo vepeeeeee ...... Muanzisha mada umeminya P hadi umeharibu kizazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi Bado mbichi hi siunaona viporo vinaliwaNakusalimu brave one.
Ukikata hakuna kuchapana viboko pale jangwani na Mzee akilimaliDah! Huu upepo uendelee hivi hivi
Huu upepo utakata mtakimbiana humu jukwaaniUpepo unazidi kuvuma, tena wa kimbunga na madhara ya kimbunga yanajulikana duniani kote
Sent using Jamii Forums mobile app
We hujitambui,wanaompa sifa zahera sio yanga na TFF km hujui.au hukumbuki Ni kocha Bora wa mwez novemba.Halafu utasemaje yanga inakikosi kibovu wakati inashinda mech zilezile ambazo upande wa pili wenye kikosi kizuri Ni shida.Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088