Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Napingana na wewe mkuu, penye team work na jitihada pia malengo yenu ndio chachu ya mafanikio..usisingizie upepo.....
kushinda kwa yanga ni jitihada za dhati na malengo ambazo wamejiwekea na si upepo ...
kuwa na wachezaji wengi hata kama ni bora lakini kama huna malengo ni lazima safari yako haitakuwa na ufanisi..
eg:leicester city tuliona walichokifanya pale EPL
 
Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
huu ni ukweli...hamna timu pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom