Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Bora umemuita aiseeee. Hizi ni dalili za kuukimbia uzi wake.Hivi huyu mwanzisha thread bado yupo, naomba mnisaidie kumuita huku
Au bado yupo Zambia anasheherekea kipigo cha 2-1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Bora umemuita aiseeee. Hizi ni dalili za kuukimbia uzi wake.Hivi huyu mwanzisha thread bado yupo, naomba mnisaidie kumuita huku
Au bado yupo Zambia anasheherekea kipigo cha 2-1
😂😂😂😂😂Hahaha Hali ni mbaya sana kwa kina Adela, Idadi inatisha!!!
😂😂😂😂 wachaaaa.Kama Simba au Azam went vikosi bora
Halafu akapata point ngapi?Yanga siumeona ilivyopata shida Hadi refa kuwapiga jeki ila Simba alimpiga 5 huyo ruvu shooting
Shadeeya
Bado point ngapi zako...Niko nje ya mji kidogo network inasumbua ila nimeona mbeleko ya refa ilivyowaepusha mpapaso wa Masau bwire
Sasa hivi atasema kuwa sio upepo tena bali ni vumbibado upepo jamanii.....
Sasa hivi wanasubiri Azam na Mkia ndio watufungeSasa hivi atasema kuwa sio upepo tena bali ni vumbi
Ni kimbunga aiseee.Sasa hivi atasema kuwa sio upepo tena bali ni vumbi
Hao watacheza nafasi ya Nani pale Simba mkuu, utamtoa Wawa umueke yondan?
Makambo amtoe kagere? Kuwa serious kidogo mkuu