Matokeo ya ACSEE 2008

Bla bla eti eeh? Haya bwana
 
Ni kweli tupu,nilifanya huu mtihani,PCM,matokeo yalikuwa mabaya sana,wenzangu wengi walizungusha. Niliishia kupata D,D,D tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nataka kujua ni kwa nini matokeo ya Kidato cha Sita mwaka 2008 yamefichwa hayaonekani ila miaka mingine kama 2007 na 2009 yanaonekana.
ata mim nlikua mtahiniwa wa mwaka 2008 kwa comby ya ECA yan huo mwaka ndio nliamin kuna homa ya mtihan mana kuna jamaa yetu alilowa nguo nzima wkt tunafanya pepa ya Acc pepa 1
 
ata mim nlikua mtahiniwa wa mwaka 2008 kwa comby ya ECA yan huo mwaka ndio nliamin kuna homa ya mtihan mana kuna jamaa yetu alilowa nguo nzima wkt tunafanya pepa ya Acc pepa 1
Kwakweli mitihank ya ACSEE 2008 Kwa kweli Kwa upande wangu paper ile ya Physics 3 practical ya mafuta haikuwa rahisi kwangu ni mtihani ambao kwakweli katika mitihani yote niliyowai kufanya huo ulikuwa bonge la paper nilihsi kama mapigo ya Moyo yanaongezeka Physics haikuwa rahisi Ila ashukuruwe chemistry na Maths hazikuniangusha kivile
 
Hiyo 2008 wengine paper la physics 3 swali la heat hawakupewa mafuta ya kula kabisa na swali lilihitaji mafuta ya kula na maji yani ilikuwa mvurugano tabu tu .
 
Mkuu binadamu ndo tulivyo kila mtu anajiona yeye ndo mtambo
 
Ni 1.4 kwa boys
1.5 kwa girls wamerekebisha hii mwaka 2023
Kwa sasa wanahesabu namna gani cut off points. Awali e.g 2006, 2007, 2008 ilikuwa wanahesabu kwa uzito wa A=5, B =4, C= 3 na kuendelea kwa mtiririko wa madaraja. Kwa maana cut off points za juu unakuta ni 15, 14, 13, 12 na 11 kulingana na matakwa ya course husika. Je, hii 1.4 au 1.5 ya sasa calculation ipoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…