Nikisema 1.4 kwa boys ina maana by any means huyu mtu ana A mbili na B mojaKwa sasa wanahesabu namna gani cut off points. Awali e.g 2006, 2007, 2008 ilikuwa wanahesabu kwa uzito wa A=5, B =4, C= 3 na kuendelea kwa mtiririko wa madaraja. Kwa maana cut off points za juu unakuta ni 15, 14, 13, 12 na 11 kulingana na matakwa ya course husika. Je, hii 1.4 au 1.5 ya sasa calculation ipoje?
Hii 1.4 au 1.5 ilinichanganya kuitafsiri. Kumbe unamaanisha div one ya points 4 na division one ya points 5. Nilidhani 1.4 / 1.5 nikawa ninawaza inakuwaje cut off points namna hii. OkNikisema 1.4 kwa boys ina maana by any means huyu mtu ana A mbili na B moja
Na kwa girls 1.5 ana either A mbili na C moja au B mbili na A moja
Mahesabu yake ni
A = 1 point
B = 2 point
C = 3 point.
D = 4 point
E = 5 point
S = 6 point
F = 7 point
Kwa namna hii ushindani umeongezeka sana tofauti na miaka ya nyuma. Manaa ilikuwa div one yoyote ile ni uhakika 99% kudahiliwa Doctor of Medicine MUHAS. Wakati mwingine kulingana na matokeo ya mwaka husika nimeona hadi div II ya 10 hadi 12 kudahiliwa Medical Doctor hapo MUHAS mwaka 2007Nikisema 1.4 kwa boys ina maana by any means huyu mtu ana A mbili na B moja
Na kwa girls 1.5 ana either A mbili na C moja au B mbili na A moja
Mahesabu yake ni
A = 1 point
B = 2 point
C = 3 point.
D = 4 point
E = 5 point
S = 6 point
F = 7 point
Hiyo ilikuwa zamami sana times have changed mkuuuKwa namna hii ushindani umeongezeka sana tofauti na miaka ya nyuma. Manaa ilikuwa div one yoyote ile ni uhakika 99% kudahiliwa Doctor of Medicine MUHAS. Wakati mwingine kulingana na matokeo ya mwaka husika nimeona hadi div II ya 10 hadi 12 kudahiliwa Medical Doctor hapo MUHAS mwaka 2007
Hayo masomo mengine watu huwa hawayaangalii.Cut off ya BAF Mzumbe 2009 ilikuwa point 5. Mnanichanganya kusema paper ya 2008 ilikuwa ngumu
Na sisi wa 2005 utatuitaje?kuna mimtu nimikubwa mno humu yani 2007,8,9 ipo form six!!!! nyinyi ni mijomba namishangazi...π€£π€£
MahengaNa sisi wa 2005 utatuitaje?
Huyu mwaka waliamua kutukomoa. Economics ilikua na maswali yana a na b na zote ni essay aisee. No calculation hata Moja.Noma sana.. Acsee 2013 imeniharibiaga ramani
Ulipata F nn!Huyu mwaka waliamua kutukomoa. Economics ilikua na maswali yana a na b na zote ni essay aisee. No calculation hata Moja.
Nop I had D for that subject. I wrote untill I couldn't write anymore.Ulipata F nn!
Combination gani?Mtihani ulikuwa mgumu sana , ila nashukuru nilifaulu sana kuliko hata o level, yaani division one point zangu 6
Wakati miaka hiyo we ulikuwa huchagui pa kunya mkuu. ππππkuna mimtu nimikubwa mno humu yani 2007,8,9 ipo form six!!!! nyinyi ni mijomba namishangazi...π€£π€£
HglCombination gani?
π€£ nimepata tusi jipya..Wakati miaka hiyo we ulikuwa huchagui pa kunya mkuu. ππππ
Kusema ulipata 12 ina maana ni division 2 ya 12 sioNilipiga hiyo Pepa nikiwa Mgalanos nilisoma CBA. Kwa Tanzania Nzima kwenye combination ya CBA mi ndio nilikuwa TO nikifuatiwa na sister mmoja toka machame Girls na jamaa wa Kibiti. Nilipata 12 nikaenda SUA kuchukua Jiwe langu.
Paper lilikuwa gumu sana japo kuna jamaa walikuwa na ule mtihani wale wanafunzi wa Coastal hususani Prac. Nakumbuka jamaa yangu mmoja toka Moro alikiwa anasoma pale alinivujishia ile Prac tukaisolve usiku.