Matokeo ya ACSEE 2008

Matokeo ya ACSEE 2008

Kwa sasa wanahesabu namna gani cut off points. Awali e.g 2006, 2007, 2008 ilikuwa wanahesabu kwa uzito wa A=5, B =4, C= 3 na kuendelea kwa mtiririko wa madaraja. Kwa maana cut off points za juu unakuta ni 15, 14, 13, 12 na 11 kulingana na matakwa ya course husika. Je, hii 1.4 au 1.5 ya sasa calculation ipoje?
Nikisema 1.4 kwa boys ina maana by any means huyu mtu ana A mbili na B moja

Na kwa girls 1.5 ana either A mbili na C moja au B mbili na A moja

Mahesabu yake ni

A = 1 point
B = 2 point
C = 3 point.
D = 4 point
E = 5 point
S = 6 point
F = 7 point
 
Hii 1.4 au 1.5 ilinichanganya kuitafsiri. Kumbe unamaanisha div one ya points 4 na division one ya points 5. Nilidhani 1.4 / 1.5 nikawa ninawaza inakuwaje cut off points namna hii. Ok
 
Nikisema 1.4 kwa boys ina maana by any means huyu mtu ana A mbili na B moja

Na kwa girls 1.5 ana either A mbili na C moja au B mbili na A moja

Mahesabu yake ni

A = 1 point
B = 2 point
C = 3 point.
D = 4 point
E = 5 point
S = 6 point
F = 7 point
Kwa namna hii ushindani umeongezeka sana tofauti na miaka ya nyuma. Manaa ilikuwa div one yoyote ile ni uhakika 99% kudahiliwa Doctor of Medicine MUHAS. Wakati mwingine kulingana na matokeo ya mwaka husika nimeona hadi div II ya 10 hadi 12 kudahiliwa Medical Doctor hapo MUHAS mwaka 2007
 
Hiyo ilikuwa zamami sana times have changed mkuuu
 
M nataka kufahamu kwanini mtihani wa O level f4 2015 watu wengi walipewa C je wote hawa walikua na ufahamu sawa?
 
Cut off ya BAF Mzumbe 2009 ilikuwa point 5. Mnanichanganya kusema paper ya 2008 ilikuwa ngumu
Hayo masomo mengine watu huwa hawayaangalii.

Masomo yanayoangaliwa ni haya tu ,Phys ,Chem, Maths na Bios na kwa mbaaaali Geog.
 
Nilipiga hiyo Pepa nikiwa Mgalanos nilisoma CBA. Kwa Tanzania Nzima kwenye combination ya CBA mi ndio nilikuwa TO nikifuatiwa na sister mmoja toka machame Girls na jamaa wa Kibiti. Nilipata 12 nikaenda SUA kuchukua Jiwe langu.

Paper lilikuwa gumu sana japo kuna jamaa walikuwa na ule mtihani wale wanafunzi wa Coastal hususani Prac. Nakumbuka jamaa yangu mmoja toka Moro alikiwa anasoma pale alinivujishia ile Prac tukaisolve usiku.
 
Watu mna lalamikia matokeo badala ya kulalamikia serikali yenu pumbavu kwa kushindwa na walimu wapumbavu wasio jua wajibu wao wa kufundisha vyema....toka nizaliwe zijawai kukutana na walimu anayejua hata kufundisha Multiplication table ...nakama yupo hapa jf mwalimu anayejua kufundisha table ajitokeze ...siku mmoja nilimkuta dogo wa darasa la 7 hajui table ilinichukua masaa 4 tu kumfundisha ...wakati walimu wenu wanatumia miaka na viboko na mwanafunzi bado anasuasua. WALIMU WA TANZANIA NI WAPUMBAVU NA MAPROFESA WAO
 
Nilipiga hiyo Pepa nikiwa Mgalanos nilisoma CBA. Kwa Tanzania Nzima kwenye combination ya CBA mi ndio nilikuwa TO nikifuatiwa na sister mmoja toka machame Girls na jamaa wa Kibiti. Nilipata 12 nikaenda SUA kuchukua Jiwe langu.

Paper lilikuwa gumu sana japo kuna jamaa walikuwa na ule mtihani wale wanafunzi wa Coastal hususani Prac. Nakumbuka jamaa yangu mmoja toka Moro alikiwa anasoma pale alinivujishia ile Prac tukaisolve usiku.
Kusema ulipata 12 ina maana ni division 2 ya 12 sio
 
Back
Top Bottom