PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Nikisema 1.4 kwa boys ina maana by any means huyu mtu ana A mbili na B mojaKwa sasa wanahesabu namna gani cut off points. Awali e.g 2006, 2007, 2008 ilikuwa wanahesabu kwa uzito wa A=5, B =4, C= 3 na kuendelea kwa mtiririko wa madaraja. Kwa maana cut off points za juu unakuta ni 15, 14, 13, 12 na 11 kulingana na matakwa ya course husika. Je, hii 1.4 au 1.5 ya sasa calculation ipoje?
Na kwa girls 1.5 ana either A mbili na C moja au B mbili na A moja
Mahesabu yake ni
A = 1 point
B = 2 point
C = 3 point.
D = 4 point
E = 5 point
S = 6 point
F = 7 point