Matokeo ya ACSEE 2008

Matokeo ya ACSEE 2008

Mimi mwenyewe ni mmojawapo wa watahiniwa wa PCM ACSEE 2008, kiukweli mtihani ulikuwa mgumu mpaka nashangaa siku hizi wanaofaulu ni wengi kulinganisha miaka hiyo
Yani unamaanisha phy na pure ya 2008 ilikua ngumu? Ulifanikiwa kuona phy ya 2007 kweli? Kama uliona mwaka 2008 ilikua ngumu kuna uwezekano ungemaliza 2007 ungezungusha kabisa.
 
Mbonaa haukuwa na ugumu wowote sema ni Ile Hali ya mtu yeye kujiona Kama wakati wake kuwa ni mgumu Sana Ila kwa wengine ni mayai yai.
Yaani mtu utakuta hata ni mjeda anayasifia mafunzo yake anadai sio Kama nyie mnaofanya.
Kinachosumbua hapa ni ego Ile kujiona kuwa wewe ni mwamba wengine ni udongo ama ni yai.
Yaani mtu akipitia njia zake za maisha anajiona Kama yeye pekee ndiye akapitia magumu kuliko wengine so anahitaji salute.
Kuna uzi humu unaongelea kuwa ni magumu gani umeshawahi pitia ambayo hutosahau.
Binafsi nishawahi kaa ndani siku mbili bila ya kula nikakutana na mwamba anadai alimaliza siku tatu so hata sikuandika kitu kuwa Kuna gumu nimeshapitia
 
Binafsi namie ni 2008 hata wa 2007 watakutana na ngoma ya Ile 2006 walichanganyiwa instructions ya paper two Mana kawaida ni five questions out of ten Ila wakaambiwa wapige yote. Mwamba mmoja alimaliza Tisa mwingine Saba.
Binafsi ya pHysics na ya pure so hakuna Cha ajabu Sana na Kuna miamba ilipiga 1.3 Tena nyingi.so Don't brag blah blah apa
 
Mbonaa haukuwa na ugumu wowote sema ni Ile Hali ya mtu yeye kujiona Kama wakati wake kuwa ni mgumu Sana Ila kwa wengine ni mayai yai.
Yaani mtu utakuta hata ni mjeda anayasifia mafunzo yake anadai sio Kama nyie mnaofanya.
Kinachosumbua hapa ni ego Ile kujiona kuwa wewe ni mwamba wengine ni udongo ama ni yai.
Yaani mtu akipitia njia zake za maisha anajiona Kama yeye pekee ndiye akapitia magumu kuliko wengine so anahitaji salute.
Kuna uzi humu unaongelea kuwa ni magumu gani umeshawahi pitia ambayo hutosahau.
Binafsi nishawahi kaa ndani siku mbili bila ya kula nikakutana na mwamba anadai alimaliza siku tatu so hata sikuandika kitu kuwa Kuna gumu nimeshapitia
Hii ni fact mkuu. Hali hii ipo hata katika vyuo, kila mtu akiona chuo chake ndio kina shule ngumu sana kuliko kwingine!
 
Hongera sana
Iyo ukiwa ulitokea shule Fulani nadhani hata madogo hawakuafuatilii. Yaani wanacheki mwisho nne labda zikiwa chache ndio wanakaribia kucheki za tano kidogo Ila sio sana. Yaani nikiwa olevo nahitaji kujua waliofaulu kwa single digit basi. Unakuta Saba nane mpaka Tisa. Yaani mtu akitokea huko ndio unauliza hii Tisa huyu Juma abdalah ndio yupi huyo so unakumbushwa unampatia salute yake.
Ila mkianza wani ya 1.10plus none bothered to know it. Hata advance tunacheki tatu,nne na ipi imeingia top ten kitaifa.

Ila ulifaulu mkuu kuzidi mie big up sana.mana mie niliishia kwa nane
 
Back
Top Bottom