Matokeo ya ACSEE 2008

Matokeo ya ACSEE 2008

Huu mwaka ni shida mkuu nakumbuka Kuna PCB division III za 13 zilienda kusoma Medicine yaani ilikua taabu, TO alikua na C ya physics
Mimi nilikuwa shule kubwa Tabora boys tuliambulia patupu..Watu wengi tuu mkuu walikuwa na III za 13 walienda medicine,engineering na law..ulikuwa mwaka wa majonzi asee daaaah.
 
Iv nn kilitokea ACSEE 2016? mtihan na matokeo havikufanana kabisa mtihani ulikuwa rahis matokeo yakawa mabovu kwel
 
Mimi naona hii habari ya Mitihani ya TAIFA na matumizi mabaya ELIMU na akili za watu.Mtu ukiweza kusavaivu Shule miaka 4 -6 inatosha kabisa
 
Back
Top Bottom