GanaJr
Senior Member
- May 26, 2020
- 116
- 210
Mimi nilikuwa shule kubwa Tabora boys tuliambulia patupu..Watu wengi tuu mkuu walikuwa na III za 13 walienda medicine,engineering na law..ulikuwa mwaka wa majonzi asee daaaah.Huu mwaka ni shida mkuu nakumbuka Kuna PCB division III za 13 zilienda kusoma Medicine yaani ilikua taabu, TO alikua na C ya physics